Yah. Kanusho Taarifa kumhusu Erickb52

Nedda!

By the way . . . . sula bulungi!

Waanji Kipipi !
Yaani Nedda ?
Kabisa chiichii mukazi ?
Bambiiii , katonda wangee!.
Kakkati , uli'ludawa mugole wange ?
Stolechi mwaana! Nway jaanguu tamblaa mangumangu kusaidi yaangee basi .
Wabaale nyoo!
Sasa taarifa kwa Erick ni kwamba bi dada kakutolea nje !
Anakwambia Nedda!
Nedda it mean No/hapana negative respond! So if you need further talks with her Jipange .
 
Kama ni ndege erick ni cessna bishanga ni boeing 747, nani agombee dem na sakapoko ka erickb52 amae kula yake mpaka abebe zege saiti,kha!
Halafu we judgement nshakushtukia nasikia bungeni we ndo sergent of arms kila kitu mpaka thpika aamue upewe.

Bishanga ushachuja meeeen
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 na Arushaone pitieni pale kwa mama haambiliki mitaa ya ngalelo mlipie mbege mnayodaiwa
Nashangaa Judgment anamsema Erickb52 eti ni bepari sijui la arusha wakati nimjuavyo ni kapuku wa kufa mfu
Anadaiwa kila kona ya arusha na kawatelekeza watoto wake meatu hana hata uwezo wa kuwaleo huo ubepari kauweka wapi
Pale unga lelo anadaiwa mbege aliyokunywa ukienda kwa mromboo anadaiwa mguu wa mbuzi alijifanya pedeshee kuwanunulia akina Preta na Blaki Womani
Ahhh nisiendelee
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa uzuri taarifa zako siku hizi watu hawaziamini coz zimezungukwa na majungu na fitina kila mahali
 


Sitegeera ssebo!
Anyways . . . . si kikulu!

Na ulivyokazania utadhani umelipwa! LOL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…