simpaki matope Mtu yoyote yule nasema hivi,,,,, Erickb52 anaitaji kusaidiwa huku si kuzuriJudgement umefanya la mbolea sana kukanusha maana Ruhazwe JR alitaka kumpaka matope mdogo wetu Erickb52.
Whaaaaaaaaaaaaaaaaat!!!!!!!!!!!! WAIT A MINUTE!!!!!!!!!!!!!!!! Embu rudia tenaaaa hapo kwenye KWANJA MREFU NA MAJENGO MATANO!!!!!!!!!!!!!! FOR REAL!!!!!!!!!!!!!!!!
Why didnt you say so mapema kuwa huku kuna MACAPITALISTS!!!!!!!!!!!! Basi tenaaa nishaanza kujiunga na UCOMMUNIST!!!!!!!!(Ndo nipo mazoezini huku RUSSIA na SOVIET UNION)
Nachukua fursa hii adhimu kukanusha habari zilizoletwa leo hapa Jamvi .
Taarifa iliyoletwa na Ruhazwe Jr.
Nikiwa Kaka wa Erick nathibitisha kwamba mdogo wangu hana tatizo lolote la kusaidiwa Kidiplomasia, Kifikra , Kimawazo whatever , Kivyovyote vile.
Labda kwa uchache sana nitoe hints ni kwa vipi ndg yangu amekua gumzo several times hapa Mkekani .
Ni kwamba mdogo wangu ni mmoja kati ya vijana ambao Sir God amewawezesha ku'own kwanja mapema .
Mishemishe zake za mapema zimemuezesha kua mtoto wa kwanza mwenye kumiliki mijengo ya adabu takriban mitano katika mikoa tofauti hapa Tz.
Kitu ambacho hata sie kakize hatujajaaliwa.
Aidha ana'own mindinga kadhaa ya bei chafu.
So far mamususu au mademu always hujilengesha wenyewe kufata salala ya neema! Na wote wanaojipendekeza kwanini dogo asiwachatue ?
Alowambia ndg yetu ni maksai ng'ombe wa kulimia nani ?
Au alowambia ndg yetu Kamuzu Banda nani ?
Na kwa kimila chetu poligamy ndiyo heshma!
Alaaaaa.!
Hivyo members ieleweke majungu na fitna hapigiwi maskini .
Uwezo wake ndy unao mponza.
Chukulieni hii ni husda na majungu kama majungu mengine .
Judgement.
si tunataka kwenda kumnasua mshikaji yeye anapinga kunanipa wasiwasi hapomwenzako kathibitisha kwa picha nawefanya hivyo.
Whaaaaaaaaaaaaaaaaat!!!!!!!!!!!! WAIT A MINUTE!!!!!!!!!!!!!!!! Embu rudia tenaaaa hapo kwenye KWANJA MREFU NA MAJENGO MATANO!!!!!!!!!!!!!! FOR REAL!!!!!!!!!!!!!!!!
Why didnt you say so mapema kuwa huku kuna MACAPITALISTS!!!!!!!!!!!! Basi tenaaa nishaanza kujiunga na UCOMMUNIST!!!!!!!!(Ndo nipo mazoezini huku RUSSIA na SOVIET UNION)
alaa kumbe eeh!
Judgement umefanya la mbolea sana kukanusha maana Ruhazwe JR alitaka kumpaka matope mdogo wetu Erickb52.
mhhh! Nilitaka shangaaa, fagio la chuma usipitie kona hizi. Hapa namwonea huruma erick, utajilengesha weeeee mpaka abaki na boxer we mtoto wa magomen ni noma. Kwanza nikae zangu pemben nichek mechi itakavyochezwa
Wallah Ruhazwe JR usije ukatia timu Arachuga wewe! Unajaribu kumdhalalisha milionea wetu? UMEKOSA MAADILI NA ngoja niishie hapa lakini hiyo mvua inayonyesha hapo ulipo isikuache salama gaddemit kudadadeki.