Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,950
- 67,489
Ajahah ila bhna haya mambo kila mtu ana mtazamo wake kuhusu ili swala lakini kila mtu afanye kazi zakeWewe usichanganye ignorance na msaada, mwanaume kweli dar es salaam hi unlike 80k kwamwezi ni kujidhalilisha au kua ignorant kuhusu thamani ya utu wako utaiahi je kwamba na hicho kiasi.
Way back inibidi ni scratch from the beginning mm nilijituma sana na for Real always am lucky....Kaka wewe kwa historia yako uliazia na mshahara wa laki tano? Au tatu?
Hangaya anazingua kwakweli just imagine anatoa hela kununua kila gori mln 5 wakati kuna watoto wanapoteza maisha sababu ya kupanda mitumbwi kwenda shule?!!!Kumjadili Hangaya
Yah umeona uliijituma ni wachache ambao wana aza kazi kwa mshahara mkubwa wengine ili wanunue godoro wanatakiwa wasave mishahara mitatu mbeleWay back inibidi ni scratch from the beginning mm nilijituma sana na for Real always am lucky....
Let say Ukinunua kitanda mshahara wa mwezi una isha....ukinunua godoro mshahara wa mwezi unaisha....ukinunua sofa mshahara wa mwezi umeishia... Ukilipa Kodi elfu 40*3 =120k mshahara umeisha 🤓🤓🤓
Huwa natamani kuwa andikia vijana Uzi wajifunze... tangu mwaka juzi wajifunze kupitia mm....natamani kuandika madini Kwa ajili ya Vijana nikipata wasaa...
Survival for the fittest & fatest
Employers are willing to pay more if you have advanced skills and experience. In short be difficult to replace and you will earn moreKatika Afica mdaa hauna thamani very cheap, mtu mtu anafanya masaa 12 kwa siku kwamwezi siku 30 ila analipwa 150k. Imagine
Samahani mkuuUmefeli kabisa kutoweka mpira na siasa
😂Yah umeona uliijituma ni wachache ambao wana aza kazi kwa mshahara mkubwa wengine ili wanunue godoro wanatakiwa wasave mishahara mitatu mbele
BUT THE TRUE IZ EVERYONE CAN BE REPLACEDEmployers are willing to pay more if you have advanced skills and experience. In short be difficult to replace and you will earn more
Unawacheka siyo?
makanisa
Nasikitika sana kuona hivi vitu viwili ndio mwelekeo wa Mbantu ila havijamkomboa mbantu hata robo.Usisahau na misikiti
Unawacheka siyo?
Sichek brother kucheka watu wanao jitafuta ni ujinga so mm sio mjinga....Tupo pamoja mdogo wnguUnawacheka siyo?