Fafanua vizuri, nani anawarubuni?Wananchi watanzania wanarubuniwa kweli kweli tena sana hasa kwa maneno , na kwavile watanzania 75% ni wajinga wa kuelewa na kupambanua basi kwa hakika watazidi kurubuniwa zaid ya sasa.
Na ukumbuke ktk hao 75% kuna wa ukoo wako hivyo nawe hukosi chembehai za huo ujinga, ni rahisi kuona wa wengine sababu mwenyewe hujui kuwa hujui.Wananchi watanzania wanarubuniwa kweli kweli tena sana hasa kwa maneno , na kwavile watanzania 75% ni wajinga wa kuelewa na kupambanua basi kwa hakika watazidi kurubuniwa zaid ya sasa.
hajui kuwa hajui kama na yeye ni mjinga! na kwakua hajui si rahisi kubadilika au kuondokana na ujinga pole yake mletamadaNa ukumbuke ktk hao 75% kuna wa ukoo wako hivyo nawe hukosi chembehai za huo ujinga, ni rahisi kuona wa wengine sababu mwenyewe hujui kuwa hujui.
Maada hii nikuchangia kulingana na mtazo wako?. jiulize nani anawalubuni kisha anza kutililika. kama wewe wa lumumba kuwa upande wako na changia kwa kueleza upinzani unavyolubuni. kama wewe ukawa washugulikie fisiem. kama wewe yanga washugulikie simba na kama wewe acacia washugulikie tz. na vinginevyo. nazani umeelewa. mtoa mada yupo neutral hataki umbeya.Aliyemuelewa mtoa mada anipe ufafanuzi
Aisee poaMaada hii nikuchangia kulingana na mtazo wako?. jiulize nani anawalubuni kisha anza kutililika. kama wewe wa lumumba kuwa upande wako na changia kwa kueleza upinzani unavyolubuni. kama wewe ukawa washugulikie fisiem. kama wewe yanga washugulikie simba na kama wewe acacia washugulikie tz. na vinginevyo. nazani umeelewa. mtoa mada yupo neutral hataki umbeya.