kuna siku moja nilimuomba honey wangu angalau tuhamishie "game" kwenye kakochi ketu chumbani. Lengo ni kujaribu kutafuta radha kutoka kiwanja tofauti na kile tulichozoea kila siku "kitanda chetu". Kwa kweli zoezi lilifana mpaka mamaaa akauliza nilipojifunzia hiyo kitu. Sasa tatizo siku hizi hata kitanda mwenzangu amekitoa kwenye mahesabu na hasa linapokuja suala la "malavidavi" ni kwenye kiti tu mkienda kitandani ni kulala tu hata kama nataka kupambazua inabidi tuhame. Tumeshavunja kicho kiti mara 3 mshikaji ukimshauri tofauti anakuwa mbogo ile mbaya kisa eti hapo ndipo yeye mzuka wake ninapoupandisha na kuushusha...dah! Mpaka naogopa kubuni mambo mengine maana huenda akanogewa ikawa tabu!!!!!!.....
hapo nilipo bold: Inaonekana unataka kubuni kitu kisicho sahihi ndo maana dhamira yako inakusuta. Ilipoamua kwenda kwenye kiti ilikuwa pouwa kwa kuwa ni kitu kizuri lkn sasa inaelekea unataka kumrusha ukuta. Kaka hiyoo si sahihi --- ushindwe na ulegeeee
Endelea kula nae raha hapo hapo maana ndipo patamu kwake na ukihama tu ujue mali zako zitaanza liwa na mtu mwingineKuna siku moja nilimuomba honey wangu angalau tuhamishie "game" kwenye kakochi ketu chumbani. Lengo ni kujaribu kutafuta radha kutoka kiwanja tofauti na kile tulichozoea kila siku "kitanda chetu". Kwa kweli zoezi lilifana mpaka mamaaa akauliza nilipojifunzia hiyo kitu. Sasa tatizo siku hizi hata kitanda mwenzangu amekitoa kwenye mahesabu na hasa linapokuja suala la "malavidavi" ni kwenye kiti tu mkienda kitandani ni kulala tu hata kama nataka kupambazua inabidi tuhame. Tumeshavunja kicho kiti mara 3 mshikaji ukimshauri tofauti anakuwa mbogo ile mbaya kisa eti hapo ndipo yeye mzuka wake ninapoupandisha na kuushusha...Dah! mpaka naogopa kubuni mambo mengine maana huenda akanogewa ikawa tabu!!!!!!.....
Hiyo staili gani mnatumia? Au ndo mshuko wenyewe!!Kuna siku moja nilimuomba honey wangu angalau tuhamishie "game" kwenye kakochi ketu chumbani. Lengo ni kujaribu kutafuta radha kutoka kiwanja tofauti na kile tulichozoea kila siku "kitanda chetu". Kwa kweli zoezi lilifana mpaka mamaaa akauliza nilipojifunzia hiyo kitu. Sasa tatizo siku hizi hata kitanda mwenzangu amekitoa kwenye mahesabu na hasa linapokuja suala la "malavidavi" ni kwenye kiti tu mkienda kitandani ni kulala tu hata kama nataka kupambazua inabidi tuhame. Tumeshavunja kicho kiti mara 3 mshikaji ukimshauri tofauti anakuwa mbogo ile mbaya kisa eti hapo ndipo yeye mzuka wake ninapoupandisha na kuushusha...Dah! mpaka naogopa kubuni mambo mengine maana huenda akanogewa ikawa tabu!!!!!!.....
Kuna siku moja nilimuomba honey wangu angalau tuhamishie "game" kwenye kakochi ketu chumbani. Lengo ni kujaribu kutafuta radha kutoka kiwanja tofauti na kile tulichozoea kila siku "kitanda chetu". Kwa kweli zoezi lilifana mpaka mamaaa akauliza nilipojifunzia hiyo kitu. Sasa tatizo siku hizi hata kitanda mwenzangu amekitoa kwenye mahesabu na hasa linapokuja suala la "malavidavi" ni kwenye kiti tu mkienda kitandani ni kulala tu hata kama nataka kupambazua inabidi tuhame. Tumeshavunja kicho kiti mara 3 mshikaji ukimshauri tofauti anakuwa mbogo ile mbaya kisa eti hapo ndipo yeye mzuka wake ninapoupandisha na kuushusha...Dah! mpaka naogopa kubuni mambo mengine maana huenda akanogewa ikawa tabu!!!!!!.....
...Hilo behewa au kiti ambassodor?? ushauri mzuri nitaufanyia kazi sitaki nimkwaze mdau si unajua tena macho...........!!Siku hizi kuna jamaa wanatengeneza viti vizuri sana vya chuma, fanya oda ya kimoja special kwa ajili ya kumkunia shemeji!