Masoud Waukweli
Member
- Apr 21, 2014
- 17
- 2
Eti Jamaa Mmoja Muongo Kupindukia Halafu Msahaulifu Alikuwa Anastorisha Wenzake Mambo Yakawa Kama Ifuatavyo Jamaa:"wanangu Leo Si Nimekwenda Porini Nikakutana Na Swala Nikamkimbiza Nilipo Mkamata Nikamlaza Chini" Baada Ya Kuongea Hayo Simu Yake Ikaita Na Alipo Maliza Kuongea Na Cm Mambo Yakaendelea Jamaa:"masela Nimeishia Wapi?" Akajibiwa"si Pale Ulipo Mlaza Chini!" Jamaa Akaendelea "nika Mgonga Mpaka Nikapata Goli Tatu Fasta" Masela Wakamuuliza"kwani Si Swala?" Jamaa:"nikamchuna Ngozi Pale Fasta Nikambanika" Masela Wakamuuliza :"bila Ya Kumchinja?" Jamaa Akatahayari Pumbu Juu.
Mimi naona wewe ndio ukapime Mkuu.
Kwl kabisa nakusapot jamaa ndo akapime maana haifurahish wala haina maana asee.
Eti Jamaa Mmoja Muongo Kupindukia Halafu Msahaulifu Alikuwa Anastorisha Wenzake Mambo Yakawa Kama Ifuatavyo Jamaa:"wanangu Leo Si Nimekwenda Porini Nikakutana Na Swala Nikamkimbiza Nilipo Mkamata Nikamlaza Chini" Baada Ya Kuongea Hayo Simu Yake Ikaita Na Alipo Maliza Kuongea Na Cm Mambo Yakaendelea Jamaa:"masela Nimeishia Wapi?" Akajibiwa"si Pale Ulipo Mlaza Chini!" Jamaa Akaendelea "nika Mgonga Mpaka Nikapata Goli Tatu Fasta"
Ilitakiwa iishie hapo tu.
Haina mashiko