Shika sana kidogo ulichonacho mkuu maana kuna waliorithishwa majumba na vihamba ila ndugu zao wenye tamaa wakauza.. Ila hiyo itakukumbusha mzee wako. Ni hazina tosha hutopata machungu sana sana utapata cha kusimulia watoto na wajukuu!