Angekuwepo mwalimu Nyerere leo, angewakaripia wote wanaohangaika na akina Tundu Lissu kwa kuwaambia maneno ya kuudhi kama alivyowaambia polisi na wanaccm kipindi cha Lyatonga.
Lyatonga alibebwa, Lyatonga gari yake ilisukumwa, Lyatonga alipopita akina mama walitandika nguo zao...!! 1994/95 kila unapopita ilikuwa Mrema...Mrema...Mrema. Polisi kama kawaida yao ilikuwa ni mabomu, risasi za moto, virungu kwa wananchi waliokuwa wanamshabikia Mrema. Upuuzi uliomuudhi sana Mwalimu Nyerere, kwanini muhangaike na mtu kiasi hicho...!!?? Mnatumia nguvu kubwa, kifedha, kinafsi bila sababu za msingi...!! Aliwaambia mbona hata maiti inabebwa...!!?? Hamuoni kama mnamuongezea umaarufu wa bure. Jamaa tangu Mwalimi alipokohoa walifyata...!!
Sasa hivi imekuwa Tundu Lissu...Tundu Lissu...Tundu Lissu...hivi watu wote na akili zenu hapo Lumumba na pale Dodoma makao makuu hamuoni kwamba mnawaongezea umaarufu hao jamaa akina Lissu na wenzake kuliko walipokuwa wanapiga kelele bungeni na kuonekana kwa runinga...!!??
Nina mashaka sana na uwezo wa kufikiri kwa baadhi wa viongozi wetu katika nchi hii. Haiwezekani Tundu Lissu awe wa kusababisha akina Mwakyembe watokwe povu na maphd yao kajaribu kuzuia jambo wazi wazi...!!
SERIKALI MAKINI DUNIANI KOTE HUMALIZA BAADHI YA MAMBO KIMYA KIMYA YAANI...!! KUNA MKUU NILIWAHI KUMSIKIA AKIMSHANGAA MKUU MSTAAFU WATU KUMTAJA FULANI MBELE YAKE...NAKUMBUKA KAULI YAKE: NINGEKUWA MIMI NINGEWAPOTEZA WOTE...KAANZA NA SOPHIA...!!
Tafakari...!!