Jamani ndugu,
Nimeenda kuhakiki cheti cha kuzaliwa jijini Arusha nikakutana na mtumishi alioachiwa maagizo na mkuu kwamba baadhi ya vyeti ambavyo namba zake zimetumwa Dar es Salaaam hawawezi kuvihakiki hivo nilazima tupande magari kuelekea Dar kwa ajili ya uhakiki japo cheti nilichukulia Arusha.
Nakulipia 3000 nimeshalipa bank wadau wenzangu kuna mwenye ushauri jamani nianzie wapi maana sielewi ni hujuma wanatufanyia kisa pesa zinaingia direct kwenye account au nahisi kusingekua na central account haya yote yasingetokea.
Wanajamii karibuni mtupe uzoefu unadhani nini kinachoendelea ni watanzania wangapi mikoani watapanda magari kwenda RITA Dar?
Sent using Jamii Forums mobile app