Ya reo reo Magomeni Mapipa

Magomeni Mapipa ya dar au ?
 
baada yapo wale wenyeji wa Tandale kwa Mtogore watajiburudisha na mishikaki ya vijiti ya hamsini hamsini (50)........ni balaha kwakeli
 
Duh nimeipenda ila sidhani kama atapata soko la maana kule bagamoyo kwenye shamba la mamba wale jamaa walisema kilo ya nyama ya mamba kwa wakati ule ilikua elfu 25
 
ishhhi! nikimuona tu huyu dada natoka nduki asije nifanya kama mamba
 
hakuna cha ajabu zaidi ya tofauti ya utamaduni. Kule India mtu akikuta kichwa cha ng'ombe bucha lazima azimie kwanza, halafu akiamka Nduki hadi kwa M'kiti wa mtaa. Halafu lazima itakuwa breaking news.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…