Ya Rais Magufuli, apewe Rais Magufuli

Ya Rais Magufuli, apewe Rais Magufuli

wandamba

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
510
Reaction score
839
*TANGU RAIS DK. MAGUFULI AINGIE IKULU ... ~ Prt 2*

Leo tunaendelea kuchambua mambo 10 mengine aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Joseph Magufuli tangu alipoingia Ikulu mnamo Novemba 5, 2015.

Tangu Rais Dk. Magufuli aingie madarakani tumeyaona haya yakitokea na kufanyika:-

11. Kufufuka kwa mashirika ya umma yaliyokuwa taabani. Tumeona shirika la ndege, reli na la simu yakipata uhai mara baada ya Dk. Magufuli kuingia Ikulu. Mathalani upande wa ndege jumla ya ndege 6 mpya zimeshanunuliwa, upande wa simu Serikali ya awamu ya 5 ilinunua hisa zote za shirika za simu na hivyo kuanza kuimiliki kwa asilimia mia na kuanza kuliboresha shirika.

12. Tumeshuhudia Serikali ikianzisha na kufanya miradi mikubwa na ya kihistoria ya kimaendeleo. Mathalani tumeshuhudia ujenzi wa reli ya kisasa ya umeme kwa kiwango cha Standard gauge; Mradi wa ujenzi wa umeme wa Stiegler's Gorge utakao kuwa chanzo kingine cha umeme na hivyo kupunguza tatizo la umeme nchini; Ujenzi wa flyovers za Tazara na Ubungo ambayo itasaidia kupunguza msongamano wa magari mkoani Dar es Salaam.

13. Kufutwa kwa kodi mbalimbali za kilimo, Serikali kusimamia masoko ya bidhaa za wakulima na hivyo kufanya kilimo kuwa na tija nchini. Wote ni mashuhuda kwa namna gani Wakulima wa Korosho nchini wanavyonufaika, ambao walikuwa wakiuza korosho kwa bei Tsh. 800 kwa kilo hapo awali lakini tangu Rais Magufuli aingie Ikulu bei ya korosho imepanda maradufu hadi kufikia bei ya Tsh. 4000 kwa kilo. Maboresho hayo yapo hadi kwenye mazao mengine.

14. Tumeshuhudia Serikali ya awamu ya 5 yake Dk. Magufuli ikipambana vilivyo na adui maradhi. Mathalani vifo vya Wajawazito vimepungua kwa wastani wa kitaifa wa 556/100,000; Idadi ya Wanawake wanaojifungulia vituoni imefika wastani wa kitaifa wa asilimia; Upatikanaji wa dawa muhimu ni kwa asilimia 89 n.k. Pia tumeona kaya nyingi zikijiunga na mfuko wa afya ya jamii.

15. Tumeshuhudia Serikali ikiweka uwazi kwenye mikataba na uchunguzi wa rasilimali za Taifa na kuweka makubaliano mapya yenye tija Mathalani tumeona uwazi wa sekta ya madini ya dhahabu, almas na Tanzanite ambapo Taifa tumeona namna ambavyo tulivyokuwa tukiibiwa na Serikali kuweka mikakati mipya ya kutokuibiwa tena. Kama haitoshi tumeshuhudia wawekezaji wakibanwa vilivyo juu ya mikataba isiyokuwa na tija kwa Taifa. Ni Serikali ya Rais Magufuli iliweka uthubutu wa kuwabana wawekezaji wa madini wa ACACIA iliyozaa matunda kwa Serikali ya Tanzania kumiliki asilimia 16 ya hisa katika makampuni ya uchimbaji wa madini, Serikali kupata gawio la faida ya madini ya asilimia 50 kwa 50. Yote haya yamewezekana kwa sababu ya uzalendo wake Rais Dk. Magufuli.

16. Serikali ya Rais Magufuli imefanikisha vilivyo kushirikiana na nchi ya Uganda kujenga Bomba la Mafuta linalotoka nchini Uganda mpaka Tanga nchini Tanzania. Ujenzi huo wa bomba la mafuta utazalisha ajira nchini na utaongeza pato la Taifa. Hayo yote yamefanikiwa kutokana na Serikali ya Rais Magufuli kuzidi kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na nchi nyinginezo.

17. Ni Serikali ya Rais Magufuli imeweka jitihada za kupunguza utegemezi kwa kuamua kubinya mianya yote ya upotevu wa kodi na kuanzisha vyanzo vipya vya kodi. Leo hii makusanyo ya kodi ni zaidi ya Tsh. Trilioni 1.2 mpaka Tsh. Trilioni 1.5 kwa kila mwezi. Wakati Serikali ya awamu ya 5 inaingia madarakani makusanyo ya kodi yalikuwa Tsh. Bilioni 800 tu kwa kila mwezi.

18. Ukuaji wa uchumi umezidi kuongezeka kwa kasi kutoka asilimia 5.7 kwa mwaka 2015 hadi kufikia asilimia 7.2 kwa mwaka 2017. Ukuaji huu wa kiuchumia unaifanya Tanzania kuwa nchi ya pili Barani Afrika kwa kasi ya ukuaji wa kiuchumi.

19. Rais Magufuli amevunja rekodi ya kuunda Serikali yake pasipo kujali itikadi, kabila, rangi, dini wala ukanda. Mathalani tumeshuhudia Rais Magufuli akiwateua Wapinzani kushika nafasi nyeti Serikali. Mfano alimteua Prof. Kitila Mkumbo wa ACT Wazalendo kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji, alimteua Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Anna Mgwhira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na pia alimteua Mwenyekiti wa TLP, Augustino Lyatonga Mrema kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole. Hakika Rais Magufuli ameamua vilivyo kujitenga na dhambi ya ubaguzi na kuegemea nguzo ya umoja na upendo kwa Watanzania wote.

20. Ni Serikali ya Rais Magufuli imeamua kupunguza matumizi ya anasa na pesa zote kuzielekeza kwenye shughuli za kimaendeleo. Kwa kufuta safari za nje, vitafunwa, posho, semina na walsha zisizo na tija imepelekea Serikali kuokoa pesa nyingi zinazoelekezwa kwenye shughuli za kimaendeleo ikiwemo kufanikisha miradi mikubwa nchini.

*Na Emmanuel J. Shilatu*
 
Mauaji kukua kwa kasi naona Umesahau mkuu.
Jaribu kutuaminishayote toka aingie kwenye jumba la kifahari.
Kutekwa watu,watu kuokotwa ufukweni je?
Kitu ambacho ukae uekewe mtu yeyote anae shiriki kwenye mauaji ya aina yoyote alafu akagundulika awezi kua mtu mzuri tena.
Kiwango cha mauaji yalipofikia ata ukisemanini juu ya huyu mtu hawezi kua mzuri tena.
Amesha haribu.
Apa unachofanya ni kutetea ugali wako lakini hakuna jipya.
 
je una Part 3...naomba ni inbox haya ili nitoe machapisho...maelezo kama haya yanatia moyo na.sasa tunajua tunaelekea wapi..at least we sure our dreams might be true..
 
Nafsi yako haiko huru,leo umekuja na kichwa cha habari kimtindo mwingine coz unajistukia unachoandika.CCM wamewaharibu watanzania jamani duh!
 
Ongezea:
/idadi ya watumiaji wa madawa ya kulevyia imeongezeka zaidi ya maradufu
/maambukizi ya UKIMWI yameongezeka na inatisha watanzania 225 wanaambukizwa kwa siku!
/idadi ya wasiojua kusoma na kuandika imeongezeka
/lugha ya kiingereza imeporomoka
 
Mzee naona umeishiwa point unarudia vitu vile vile vya part 1 mfano standard gauge, umeme wa stieglers gorge, makinikia hayo ulishayasema, maswala ya ndege pia ulishazungumzia, kubana matumizi yote mzee au jamaa amewaambukiza kurudia vitu mara mbili mbili mfano uzinduzi wa mwendo kasi, kiwanda cha tiles, kiwanda cha dawa kule mwanza aisee pumzi zimeshakata tayari bob kua mpole na utulie
 
*TANGU RAIS DK. MAGUFULI AINGIE IKULU ... ~ Prt 2*

Leo tunaendelea kuchambua mambo 10 mengine aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Joseph Magufuli tangu alipoingia Ikulu mnamo Novemba 5, 2015.

Tangu Rais Dk. Magufuli aingie madarakani tumeyaona haya yakitokea na kufanyika:-

11. Kufufuka kwa mashirika ya umma yaliyokuwa taabani. Tumeona shirika la ndege, reli na la simu yakipata uhai mara baada ya Dk. Magufuli kuingia Ikulu. Mathalani upande wa ndege jumla ya ndege 6 mpya zimeshanunuliwa, upande wa simu Serikali ya awamu ya 5 ilinunua hisa zote za shirika za simu na hivyo kuanza kuimiliki kwa asilimia mia na kuanza kuliboresha shirika.

12. Tumeshuhudia Serikali ikianzisha na kufanya miradi mikubwa na ya kihistoria ya kimaendeleo. Mathalani tumeshuhudia ujenzi wa reli ya kisasa ya umeme kwa kiwango cha Standard gauge; Mradi wa ujenzi wa umeme wa Stiegler's Gorge utakao kuwa chanzo kingine cha umeme na hivyo kupunguza tatizo la umeme nchini; Ujenzi wa flyovers za Tazara na Ubungo ambayo itasaidia kupunguza msongamano wa magari mkoani Dar es Salaam.

13. Kufutwa kwa kodi mbalimbali za kilimo, Serikali kusimamia masoko ya bidhaa za wakulima na hivyo kufanya kilimo kuwa na tija nchini. Wote ni mashuhuda kwa namna gani Wakulima wa Korosho nchini wanavyonufaika, ambao walikuwa wakiuza korosho kwa bei Tsh. 800 kwa kilo hapo awali lakini tangu Rais Magufuli aingie Ikulu bei ya korosho imepanda maradufu hadi kufikia bei ya Tsh. 4000 kwa kilo. Maboresho hayo yapo hadi kwenye mazao mengine.

14. Tumeshuhudia Serikali ya awamu ya 5 yake Dk. Magufuli ikipambana vilivyo na adui maradhi. Mathalani vifo vya Wajawazito vimepungua kwa wastani wa kitaifa wa 556/100,000; Idadi ya Wanawake wanaojifungulia vituoni imefika wastani wa kitaifa wa asilimia; Upatikanaji wa dawa muhimu ni kwa asilimia 89 n.k. Pia tumeona kaya nyingi zikijiunga na mfuko wa afya ya jamii.

15. Tumeshuhudia Serikali ikiweka uwazi kwenye mikataba na uchunguzi wa rasilimali za Taifa na kuweka makubaliano mapya yenye tija Mathalani tumeona uwazi wa sekta ya madini ya dhahabu, almas na Tanzanite ambapo Taifa tumeona namna ambavyo tulivyokuwa tukiibiwa na Serikali kuweka mikakati mipya ya kutokuibiwa tena. Kama haitoshi tumeshuhudia wawekezaji wakibanwa vilivyo juu ya mikataba isiyokuwa na tija kwa Taifa. Ni Serikali ya Rais Magufuli iliweka uthubutu wa kuwabana wawekezaji wa madini wa ACACIA iliyozaa matunda kwa Serikali ya Tanzania kumiliki asilimia 16 ya hisa katika makampuni ya uchimbaji wa madini, Serikali kupata gawio la faida ya madini ya asilimia 50 kwa 50. Yote haya yamewezekana kwa sababu ya uzalendo wake Rais Dk. Magufuli.

16. Serikali ya Rais Magufuli imefanikisha vilivyo kushirikiana na nchi ya Uganda kujenga Bomba la Mafuta linalotoka nchini Uganda mpaka Tanga nchini Tanzania. Ujenzi huo wa bomba la mafuta utazalisha ajira nchini na utaongeza pato la Taifa. Hayo yote yamefanikiwa kutokana na Serikali ya Rais Magufuli kuzidi kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na nchi nyinginezo.

17. Ni Serikali ya Rais Magufuli imeweka jitihada za kupunguza utegemezi kwa kuamua kubinya mianya yote ya upotevu wa kodi na kuanzisha vyanzo vipya vya kodi. Leo hii makusanyo ya kodi ni zaidi ya Tsh. Trilioni 1.2 mpaka Tsh. Trilioni 1.5 kwa kila mwezi. Wakati Serikali ya awamu ya 5 inaingia madarakani makusanyo ya kodi yalikuwa Tsh. Bilioni 800 tu kwa kila mwezi.

18. Ukuaji wa uchumi umezidi kuongezeka kwa kasi kutoka asilimia 5.7 kwa mwaka 2015 hadi kufikia asilimia 7.2 kwa mwaka 2017. Ukuaji huu wa kiuchumia unaifanya Tanzania kuwa nchi ya pili Barani Afrika kwa kasi ya ukuaji wa kiuchumi.

19. Rais Magufuli amevunja rekodi ya kuunda Serikali yake pasipo kujali itikadi, kabila, rangi, dini wala ukanda. Mathalani tumeshuhudia Rais Magufuli akiwateua Wapinzani kushika nafasi nyeti Serikali. Mfano alimteua Prof. Kitila Mkumbo wa ACT Wazalendo kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji, alimteua Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Anna Mgwhira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na pia alimteua Mwenyekiti wa TLP, Augustino Lyatonga Mrema kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole. Hakika Rais Magufuli ameamua vilivyo kujitenga na dhambi ya ubaguzi na kuegemea nguzo ya umoja na upendo kwa Watanzania wote.

20. Ni Serikali ya Rais Magufuli imeamua kupunguza matumizi ya anasa na pesa zote kuzielekeza kwenye shughuli za kimaendeleo. Kwa kufuta safari za nje, vitafunwa, posho, semina na walsha zisizo na tija imepelekea Serikali kuokoa pesa nyingi zinazoelekezwa kwenye shughuli za kimaendeleo ikiwemo kufanikisha miradi mikubwa nchini.

*Na Emmanuel J. Shilatu*
Bado kidoogo tu.. Komaa
 
khaaaa huu ndio mchango wako...akili yako hapa ndipo ilipoishia....khaaaa.. kweli division five ni majanga
Unafikiri tuwaamniaje sasa ninyi wenye division one mesahau wasiojilikana katika orodha yenu, ugumu Wa maisha kuongezeka madhalani taifa zima , kutekwa watu na kuuwawa lkn miujizs division 0 kuongoza jiji kubwa
 
nashangaa mnakimbilia ugumu wa maisha na.kulalamika..kwani ugumu unasababishwa na.nini..ni uzembe wa kutofanya kazi..jitume mama usikae unamtegemea mmeo halafu unalalamika..tatizo mlizoea vya madili, vya hela za fasta..unakaa tu home mahela ya wizi yanakufuata..jinga kabisa..mwambie mmeo aongeze bidii ya kazi na msaidie na wewe..
 
Back
Top Bottom