By the way huwezi kumlinganisha Ombeni na Kinana. Kinana ni namba nyingine
By the way huwezi kumlinganisha Ombeni na Kinana. Kinana ni namba nyingine
Wote lazima waondoke 2017Mleta uzi mimi pia niliwaza kama wewe, Magu siyo mtu wa kuamini sana. Nadhani kuna uzoefu kidogo anahitaji toka kwa Kinana then amteme
Na mimi niliwaza hivyo hivyoKwa silka na hulka ya utendaji wa Mwenyekiti mpya wa CCM, Dkt Magufuli, na hasa kwa kutowakubali, (yawezekana kwa kutowaamini), wateule na watendaji wakuu wa Mtangulizi wake, sioni dalili za Uteuzi wa Ndg Kinana kuwa Katibu Mkuu Mpya wa CCM, kudumu kwa muda hata wa siku 100.
Licha ya sifa kemkem alizopewa Dodoma, kuna uwezekano mkubwa yale yaliyomkuta aliyekuwa katibu mkuu kiongozi Ndg Sefuwe, yakamkuta Kinana, tukaishia kuambiwa, "ATAPANGIWA KAZI NYINGINE"
Muda haudaganyi Tusubiri.
Jembe sana huyu mtu..sina shaka akitoka hapo atakwenda TANAPA ili tupae na UJANGILI utakoma kabisa!By the way huwezi kumlinganisha Ombeni na Kinana. Kinana ni namba nyingine