Kameze dawa ulale. Umevurugwa na malariaKama Isreal na marekani wanaifanya dunia watakavyo nani atamnyooshea kidole mwenziwe?
Kilochabaki ni kumuomba mungu yasitokee. Kama Isreal na marekani wanaficha idadi ya wanajeshi na raia wao waliokufa. Basi na ya October 29 ndio hivyo hivyo
Usijilinganishe na israel na america, tafuta ligi saizi yakoKama Isreal na Marekani wanaifanya dunia watakavyo nani atamnyooshea kidole mwenziwe?
Kilochabaki ni kumuomba mungu yasitokee. Kama Isreal na Marekani wanaficha idadi ya wanajeshi na raia wao waliokufa. Basi na ya October 29 ndio hivyo hivyo