Ya Madeleka yanaweza kumpata Mbowe

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,014
Reaction score
6,834
Madeleka yamemkuta; kashinda rufaa, kasindwa kupata kusafishwa kuwa hajawahi kufungwa kwa kosa la jinai. Mahakama imesema kama anataka kuonekana hajawahi kupatikana na kosa la jinai- kesi yake isikilizwe upya.

Kesi yake ilikuwa ya uhujumu uchumi ambayo haina dhamana.

Kwa misingi hiyo polisi imebidi wachukue mtu wao, wanae, na kesi itaendelea.

Hili linaibua kesi ya ugaidi ya Mbowe; Mbowe alipatikana na kesi ya kujibu; serikali ilipopata uamuzi huo ikaondoa kesi mahakamani.

Ajabu na kwa mashangao mkubwa, mawakili wa utetezi wakashangilia kana kwamba wameshinda kesi.

Nadhani ipo siku mazingira yatajijenga, kesi itafufuka.
 
Siyo kazi nyepesi kubambikizia kesi za UONGO wewe!
 
Kama kuna mahali tuliteleza na kuhusu huyu mzee mbowe hakustahili kuwa huru hata kidogo
 
Kwakuwa chief cook wa ule upishi mchongo wa pale madukani kwa mama muuza ndio yupo pale jikoni anaweza kumlaza njaa,ila hatakufa kwa njaa😂😂
 
Yale Kwa Mbowe ni majungu ndiyo maana bi Mkubwa alifunika kombe!! Kalaga bao wa mjini wanajua
 
😂😂 ingekuwa powa sana, akafungue tena kesi, CDM ianze confrontational politics...

Hizi za kuchagua lip la kusema na lip liachwe naona mmechoka.
 
Acha yampate hata zaidi mtovu wa shukran na adabu.
 
 
Madeleka mtu wa maokoto tuh,ajabu anafinya eti mzalendo kuongelea ishu za bandari.
 
Mkifanikiwa,

Mawe yatapiga kelele ikibidi.

KWELI na HAKI HAVIZUILIKI, asili yake ni Mbinguni.
Watu milioni 60 ni wengi sana.
Hatuwezi kukosa majasiri wawili watatu wa kulipigania na kulitetea Taifa hili.
 
vipi kuhusu sabaya ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…