mwanaone
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 637
- 760
Uigizaji mtupu serikali ipo katika kujisafisha tu.
1: Hawataki Makonda afukuzwe kwa tuhuma za vyeti fake. Sababu kubwa ikiwa Bashite atafukuzwa kwa vyeti fake hii itaonyesha vetting wanayosema wanafanyiwa viongozi in mapungufu na waliohusika na kumfanyia vetting Makonda itabidi wawajibishwe.
2: Pili itaonekana usalama wa taifa hawafanyi kazi yao ipasavyo na Rais ni rahisi kudanganywa na wasaidizi wake. Hii ni kashfa kwa Magufuli maana yeye anajifanya hawezi kudanganywa. Makonda alimdangamya Rais kwa kujifanya anapigana vita ya madawa kumbe anapigana na vita binafsi.
3: Ili Rais asiaibike inabidi itafutwe scandal kama ile ya Kitwanga ili apate sababu nyingine ya kumfukuza Ili Rais asionekane amekosea kwa muda mrefu.
Hili la Clouds limepangwa na usalama wa taifa na Makonda maksudi Ili kumpa Rais sababu nyingine ya kumfukuza Makonda.
4: Makonda angefukuzwa kwa ajili ya vyeti fake ilibidi au itabidi apelekwe mahakamani na ushahidi upo wazi Makonda angefungwa.
5: Makonda angefukuzwa kwa kashafa ya kuhongwa na watuhumiwa wa madawa ambapo ushahidi upo wazi ni kesi ya mahakamani na angefungwa.
6: Kwa ufupi hii kashfa ya Clouds ni kumnusuru Makonda na kifungo kama walivyofanya kwa Kitwanga.