Fikiri kwa kichwa si TUMBO.................Great thinker ......kweli nimeshangazwa na uchangiaji humu JF juu ya KATIBU mlikizo Mh..Jairo....! nimeshangazwa kwasababu nimeisoma ile barua mara ya kwanza....nikadhani labda nakosea,nimeirudia tena mara ya pili....hadi mara tano. Sijaona kosa la Katibu Jairo hapo kwenye hiyo barua labda kama kuna kitu chingine nyuma ya tusiyoyajua mbali na hiyo barua...lakini kama ni barua hiyo sijui na sioni hata kosa lililofanya hii issue kuwa kubwa hivyo ni nini?, na zaidi nashangaa amesimamishiwa kwa nini?
Naomba ninukuu kidogo madhari ya barua yenyewe..
KATIBU.~anawajulisha kuwa wizara imekamilisha maandalizi ya bajeti ya nishati na madini
~, akaongeza kuwajulisha hao aliokuwa anawa-address hiyo barua kuwa bajeti hiyo imekwisha kupitishwa na kamati husika ya madini
~ KATIBU akaongeza kama ilivyokawaida kwenye uwasilishaji wa bajeti ya wizara hivyo huwa kuna maofisa mbalimbali na viongozi waandamizi wanaambatana nayo, hii ni kwa ajili ya kutoa ufafanuzi wa maswala yatakayo jitokeza kwenye mjadala na katika kuakikisha shughuli ya upitishwaji wa budget hiyo unafanikiwa~ naendelea ma great thinker msichoke..akaandika
KATIBU ~ili kufanikisha mawasilisho UNAOMBWA, SIJUI NI MMOJA AU WANGAPI MIE SIJUI MAANA BARUA ILIYOANIKWA HAIJAONESHA WAPELEKEWA~
~OK tuseme kama inavyojitokeza kwenye mjadala wa swala hili…hizo taasisi zinazoandikiwa barua wanaombwa...narudia tena wanaombwa kuchangia...sio lazima!!!!
KATIBU ---akaelekeza akaunti kwa atakaye kubali ombi hilo apelike pesa kwenye akaunti iliyotajwa na kusisitiza wizara ipewe taarifa kupitia ofisi ya DP……sio kupitia kwake hapana kupitia ofisi ya serkali.
Great thinker nakuja kwenye hoja sasa. Ombi hilo liliombwa kimaandishi na kwa kupitia mfumo wa serikali na pesa hizo zimeombwa kwenye taasisi za serikali ndani ya wizara husika. Tatizo lipo wapi??na pesa za serikali ambazo ni za umma huwa zinakuwa accounted..wengine wataanza serikali haina pesa…na kupinga kuwa pesa ni za umma najua nao hao wapo ndio maana nimelieleza hilo…!
SASA KOSA LA KATIBU LI WAPI HAPO????????????
KWANINI AMESIMAMISHA KAZI!!!!!!KATIBU JAIRO KACHAPE KAZI BWANA.
HAO WANAOKUWA NA BARUA ZA SERIKALI NA KUZITUMIA KISIASA NDIO WANATAKIWA WASIMAMISHWE NA KUCHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA…WAMEPATA WAPI BARUA HIYO?NA WAMEIPATAJE? ILI IWEJE? NA KWANINI? KWANI WAO NDIO TAASISI ZILIZOOMBWA HIZO HELA?
SIO KUWA NAMTETEA KATIBU… HANIJUI…SIMJUI NA WALA SINA NIA YA KUJUANA NAYE, ILA NAJARIBU KUFANYA MAZOEZI YA KUWA JUDGE MAANA NAMALIZIA KOZI YA SHERIA.
Great thinker ......kweli nimeshangazwa na uchangiaji humu JF juu ya KATIBU mlikizo Mh..Jairo....! nimeshangazwa kwasababu nimeisoma ile barua mara ya kwanza....nikadhani labda nakosea,nimeirudia tena mara ya pili....hadi mara tano. Sijaona kosa la Katibu Jairo hapo kwenye hiyo barua labda kama kuna kitu chingine nyuma ya tusiyoyajua mbali na hiyo barua...lakini kama ni barua hiyo sijui na sioni hata kosa lililofanya hii issue kuwa kubwa hivyo ni nini?, na zaidi nashangaa amesimamishiwa kwa nini?
Naomba ninukuu kidogo madhari ya barua yenyewe..
KATIBU.~anawajulisha kuwa wizara imekamilisha maandalizi ya bajeti ya nishati na madini
~, akaongeza kuwajulisha hao aliokuwa anawa-address hiyo barua kuwa bajeti hiyo imekwisha kupitishwa na kamati husika ya madini
~ KATIBU akaongeza kama ilivyokawaida kwenye uwasilishaji wa bajeti ya wizara hivyo huwa kuna maofisa mbalimbali na viongozi waandamizi wanaambatana nayo, hii ni kwa ajili ya kutoa ufafanuzi wa maswala yatakayo jitokeza kwenye mjadala na katika kuakikisha shughuli ya upitishwaji wa budget hiyo unafanikiwa~ naendelea ma great thinker msichoke..akaandika
KATIBU ~ili kufanikisha mawasilisho UNAOMBWA, SIJUI NI MMOJA AU WANGAPI MIE SIJUI MAANA BARUA ILIYOANIKWA HAIJAONESHA WAPELEKEWA~
~OK tuseme kama inavyojitokeza kwenye mjadala wa swala hili…hizo taasisi zinazoandikiwa barua wanaombwa...narudia tena wanaombwa kuchangia...sio lazima!!!!
KATIBU ---akaelekeza akaunti kwa atakaye kubali ombi hilo apelike pesa kwenye akaunti iliyotajwa na kusisitiza wizara ipewe taarifa kupitia ofisi ya DP……sio kupitia kwake hapana kupitia ofisi ya serkali.
Great thinker nakuja kwenye hoja sasa. Ombi hilo liliombwa kimaandishi na kwa kupitia mfumo wa serikali na pesa hizo zimeombwa kwenye taasisi za serikali ndani ya wizara husika. Tatizo lipo wapi??na pesa za serikali ambazo ni za umma huwa zinakuwa accounted..wengine wataanza serikali haina pesa…na kupinga kuwa pesa ni za umma najua nao hao wapo ndio maana nimelieleza hilo…!
SASA KOSA LA KATIBU LI WAPI HAPO????????????
KWANINI AMESIMAMISHA KAZI!!!!!!KATIBU JAIRO KACHAPE KAZI BWANA.
HAO WANAOKUWA NA BARUA ZA SERIKALI NA KUZITUMIA KISIASA NDIO WANATAKIWA WASIMAMISHWE NA KUCHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA…WAMEPATA WAPI BARUA HIYO?NA WAMEIPATAJE? ILI IWEJE? NA KWANINI? KWANI WAO NDIO TAASISI ZILIZOOMBWA HIZO HELA?
SIO KUWA NAMTETEA KATIBU… HANIJUI…SIMJUI NA WALA SINA NIA YA KUJUANA NAYE, ILA NAJARIBU KUFANYA MAZOEZI YA KUWA JUDGE MAANA NAMALIZIA KOZI YA SHERIA.
aaah kumbe unafanya mazoezi ya kujudge....mbona unasumbua watu kusoma thread yako wakijua kuna issue ya maana kumbe unafanya mazoezi?kama ni hivo napita tu endelea na mazoezi ya kujudge...but hapa sio sehemu muafaka kwa ajili ya mazoezi tafadhali..Great thinker ......kweli nimeshangazwa na uchangiaji humu JF juu ya KATIBU mlikizo Mh..Jairo....! nimeshangazwa kwasababu nimeisoma ile barua mara ya kwanza....nikadhani labda nakosea,nimeirudia tena mara ya pili....hadi mara tano. Sijaona kosa la Katibu Jairo hapo kwenye hiyo barua labda kama kuna kitu chingine nyuma ya tusiyoyajua mbali na hiyo barua...lakini kama ni barua hiyo sijui na sioni hata kosa lililofanya hii issue kuwa kubwa hivyo ni nini?, na zaidi nashangaa amesimamishiwa kwa nini?
Naomba ninukuu kidogo madhari ya barua yenyewe..
KATIBU.~anawajulisha kuwa wizara imekamilisha maandalizi ya bajeti ya nishati na madini
~, akaongeza kuwajulisha hao aliokuwa anawa-address hiyo barua kuwa bajeti hiyo imekwisha kupitishwa na kamati husika ya madini
~ KATIBU akaongeza kama ilivyokawaida kwenye uwasilishaji wa bajeti ya wizara hivyo huwa kuna maofisa mbalimbali na viongozi waandamizi wanaambatana nayo, hii ni kwa ajili ya kutoa ufafanuzi wa maswala yatakayo jitokeza kwenye mjadala na katika kuakikisha shughuli ya upitishwaji wa budget hiyo unafanikiwa~ naendelea ma great thinker msichoke..akaandika
KATIBU ~ili kufanikisha mawasilisho UNAOMBWA, SIJUI NI MMOJA AU WANGAPI MIE SIJUI MAANA BARUA ILIYOANIKWA HAIJAONESHA WAPELEKEWA~
~OK tuseme kama inavyojitokeza kwenye mjadala wa swala hili…hizo taasisi zinazoandikiwa barua wanaombwa...narudia tena wanaombwa kuchangia...sio lazima!!!!
KATIBU ---akaelekeza akaunti kwa atakaye kubali ombi hilo apelike pesa kwenye akaunti iliyotajwa na kusisitiza wizara ipewe taarifa kupitia ofisi ya DP……sio kupitia kwake hapana kupitia ofisi ya serkali.
Great thinker nakuja kwenye hoja sasa. Ombi hilo liliombwa kimaandishi na kwa kupitia mfumo wa serikali na pesa hizo zimeombwa kwenye taasisi za serikali ndani ya wizara husika. Tatizo lipo wapi??na pesa za serikali ambazo ni za umma huwa zinakuwa accounted..wengine wataanza serikali haina pesa…na kupinga kuwa pesa ni za umma najua nao hao wapo ndio maana nimelieleza hilo…!
SASA KOSA LA KATIBU LI WAPI HAPO????????????
KWANINI AMESIMAMISHA KAZI!!!!!!KATIBU JAIRO KACHAPE KAZI BWANA.
HAO WANAOKUWA NA BARUA ZA SERIKALI NA KUZITUMIA KISIASA NDIO WANATAKIWA WASIMAMISHWE NA KUCHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA…WAMEPATA WAPI BARUA HIYO?NA WAMEIPATAJE? ILI IWEJE? NA KWANINI? KWANI WAO NDIO TAASISI ZILIZOOMBWA HIZO HELA?
SIO KUWA NAMTETEA KATIBU… HANIJUI…SIMJUI NA WALA SINA NIA YA KUJUANA NAYE, ILA NAJARIBU KUFANYA MAZOEZI YA KUWA JUDGE MAANA NAMALIZIA KOZI YA SHERIA.
Fikiri kwa kichwa si TUMBO.................
Crap..Great thinker ......kweli nimeshangazwa na uchangiaji humu JF juu ya KATIBU mlikizo Mh..Jairo....! nimeshangazwa kwasababu nimeisoma ile barua mara ya kwanza....nikadhani labda nakosea,nimeirudia tena mara ya pili....hadi mara tano. Sijaona kosa la Katibu Jairo hapo kwenye hiyo barua labda kama kuna kitu chingine nyuma ya tusiyoyajua mbali na hiyo barua...lakini kama ni barua hiyo sijui na sioni hata kosa lililofanya hii issue kuwa kubwa hivyo ni nini?, na zaidi nashangaa amesimamishiwa kwa nini?Naomba ninukuu kidogo madhari ya barua yenyewe..KATIBU.~anawajulisha kuwa wizara imekamilisha maandalizi ya bajeti ya nishati na madini~, akaongeza kuwajulisha hao aliokuwa anawa-address hiyo barua kuwa bajeti hiyo imekwisha kupitishwa na kamati husika ya madini~ KATIBU akaongeza kama ilivyokawaida kwenye uwasilishaji wa bajeti ya wizara hivyo huwa kuna maofisa mbalimbali na viongozi waandamizi wanaambatana nayo, hii ni kwa ajili ya kutoa ufafanuzi wa maswala yatakayo jitokeza kwenye mjadala na katika kuakikisha shughuli ya upitishwaji wa budget hiyo unafanikiwa~ naendelea ma great thinker msichoke..akaandika KATIBU ~ili kufanikisha mawasilisho UNAOMBWA, SIJUI NI MMOJA AU WANGAPI MIE SIJUI MAANA BARUA ILIYOANIKWA HAIJAONESHA WAPELEKEWA~~OK tuseme kama inavyojitokeza kwenye mjadala wa swala hili…hizo taasisi zinazoandikiwa barua wanaombwa...narudia tena wanaombwa kuchangia...sio lazima!!!! KATIBU ---akaelekeza akaunti kwa atakaye kubali ombi hilo apelike pesa kwenye akaunti iliyotajwa na kusisitiza wizara ipewe taarifa kupitia ofisi ya DP……sio kupitia kwake hapana kupitia ofisi ya serkali. Great thinker nakuja kwenye hoja sasa. Ombi hilo liliombwa kimaandishi na kwa kupitia mfumo wa serikali na pesa hizo zimeombwa kwenye taasisi za serikali ndani ya wizara husika. Tatizo lipo wapi??na pesa za serikali ambazo ni za umma huwa zinakuwa accounted..wengine wataanza serikali haina pesa…na kupinga kuwa pesa ni za umma najua nao hao wapo ndio maana nimelieleza hilo…! SASA KOSA LA KATIBU LI WAPI HAPO???????????? KWANINI AMESIMAMISHA KAZI!!!!!!KATIBU JAIRO KACHAPE KAZI BWANA. HAO WANAOKUWA NA BARUA ZA SERIKALI NA KUZITUMIA KISIASA NDIO WANATAKIWA WASIMAMISHWE NA KUCHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA…WAMEPATA WAPI BARUA HIYO?NA WAMEIPATAJE? ILI IWEJE? NA KWANINI? KWANI WAO NDIO TAASISI ZILIZOOMBWA HIZO HELA? SIO KUWA NAMTETEA KATIBU… HANIJUI…SIMJUI NA WALA SINA NIA YA KUJUANA NAYE, ILA NAJARIBU KUFANYA MAZOEZI YA KUWA JUDGE MAANA NAMALIZIA KOZI YA SHERIA.
Fikiri wewe ambaye unatoa shutuma tu bila kujua unatoa shutuma kwa vigezo gani....! unanijiona unaakili ungekuwa kila siku unalaumu wenye akili ambao wanakuongoza...na kuuliza wewe na wanaokuongoza nani anaakili????????????utaishia kubwabwaja tu wennzio wenye akili wanakula maisha
Mkuu serikali ingekuwa inaendeshwa hivyo...sijuhi km nchi ingefika popote.....
Yaani we unaona ni halali kwa ofisa yoyte wa serikali kuomba pesa...kutoka kokote anakotaka ilimradi katika taasisi ya serikali.Anaanzisa utaratibu wake tu...na hana hata bajeti ya pesa anayoomba....akipewa sawa na asipopewa sawa!km vile anachangisha mchango wa Harusi?Hiyo si sahii.Lazima serikali iendeshwe kwa utaratibu si kila mtu kuwa na ubunifu wake na kufanya anavyotaka.Watu km Jairo ndo wamewapeleka watanzania pabaya.
Nimekuelewa mkuu. Ila hoja yangu ni kwamba kwa jinsi ninavyoelewa utaratibu wa Serikali ni kwa kila Wizara kutumia Bajeti iliyopitishwa na Bunge katika kutekeleza wajibu wake. Na kwamba kumuomba subordinate ni lugha ya heshima lakini kiukweli kabisa Serikalini maana yake ni agizo. Ikitokea kwamba Wizara haina fedha au imeishiwa basi unatakiwa kuomba mkopo kwa taasisi husika kwa kuwa kuchukua kwa 'agizo' utakwamisha mipango ya Taasisi husika kwa kuwa yeye anauwezo wa kuandika madeni hayo na katika bajeti inayofuata kukawepo na kifungu cha kulipia madeni. Kuhusu ".... wennzio wenye akili wanakula maisha" ningekushauri lugha hiyo kidogo usiitumie unasababisha hasira kwa wananchi kuhusu serikali yao nimeandika hivyo kwa kuwa umejitambulisha kwamba wewe ni mwanafunzi. Kwa lugha za mitaani is OK.