kama ni hivyo hakuna uzi utakao aanza ambao hautatiliwa shaka juu ya mletaji. jamaa ameweka na mifano kuhusu sabotage juu ya mwaka. Tumpinge kwa hoja japo kumuonyesha mwaka hayupo sahihi.
Yaani nilipofungua huu uzi tu nami nikahisi jamaa kalipwa
Hata mimi nimekuwa nikijiuliza: Kwa nini Mwaka? Mbona waganga wengi sana wa miti shamba wanajiita madokta na wanajitangaza? Kwa nini Mwaka asakamwe hivyo?
Wenye uelewa zaidi watujuze isije ikawa Kigwangala na Mwaka walipishana mahali fulani pasipo rasmi!
Na wewe utakuwa umelipwa kuja kumtetea.
Waliofanyiwa vibaya na huyo dokta feki wamenyamaza kwa kuwa hawako hai!just thinking aloud!!