xperia mini im forget my password help please

xperia mini im forget my password help please

Babchabi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
1,745
Reaction score
777
sony-ericsson-xperia-mini.jpgwana jf msaada kwenu napmba kwa wale wenye kujua naomba mnisaidie ni aplication gani naweza kutumia na nika remove password ambayo nimeisahau wakati ninawasha simu ikishawaka inablock na inataka niweke hizo code number kama kuna mtu anajua naomba anisaidie. hii sio lock ya network ni possword.
 
View attachment 88899wana jf msaada kwenu napmba kwa wale wenye kujua naomba mnisaidie ni aplication gani naweza kutumia na nika remove password ambayo nimeisahau wakati ninawasha simu ikishawaka inablock na inataka niweke hizo code number kama kuna mtu anajua naomba anisaidie. hii sio lock ya network ni possword.

weka password mara tano ukikosea mfululizobitakuuliza e-mail na password ya Gmail ingiza hivyo viwili iraji reset password na utaweka mpaya.
 
Ni sawa wadau watakusaidia,ila mimi naona hujatoa maelezo ya kutosha ili kudhibitisha ni kwa jinsi gani password uliyoiset mwenyewe umeisahau kabisa.Sina nia ya kukuvunja moyo,ila ninatambua uwezekano wa simu za watu kuibiwa/kupotea zikiwa locked.
 
weka password mara tano ukikosea mfululizobitakuuliza e-mail na password ya Gmail ingiza hivyo viwili iraji reset password na utaweka mpaya.
nimetia mara 5 hakuna lolote mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom