Habari,
Nina mpango wa kuagiza simu tajwa Xiaomi/Mi Redmi 1s na baadaye Redmi 2 kwa ajili ya kuuza hapa bongo bamoja na simu nyingine kama Huawei Honor Series, ZTE na ASUS hapo baadaye kwa reasonable price.
Anayehitaji, au mwenye ushauri tushirikishane.
Shukrani.