Xiaomi Mi band 2

kariakoo zipo niliziona zinauzwa sh 60,000
Inawezekana, but amini usiamiani asilimia kubwa ya bidhaa za Xiaomi zilizopo kariakoo ni FAKE, Haiwezekani bei ya huko China ndio 60k halafu na hapa TZ ni hiyo hiyo lazma uthibitishe kuwa ni original Xiaomi Mi Band 2 kabla ya kuinunua .
 
Pengine hakuwa na awareness ya bei..na ndio nmemfumbua..next tym aagize mwenyew...mbona ni rahis .
I was very much aware.. Na kabla hajanunua alinionyesha bei nikaafiki nikamtumia pesa... msauziy I appreciate your honesty
 
So true bro.... Na pia niliridhia maana ulimionyesha bei before purchasing....
 
Yeah ni kweli nilichukua, but sio kwa hiyo bei uliyoisema mkuu 36k?? Nilichukua kwa USD 23, ilikua ni siku ya kwanza hiyo anniversary, hii kitu hapa Bongo wanaiuza 150k kwa wahindi wa jumia. 70k ni fair mnoo.
Now I can't leave without my Mi band 2... Halafu kuna mtu ananiletea ile AMAZFIT BIP unaonaje? Ikifika nitakutumia whatsap....
 
Bas huenda ni zile price tag za nje tu..ndani ndio ikawa hyo 23 usd.. sikufungua ile item..bas kama bongo ni gharama hivyo...nakubaliana naww 70 ni fair..
Ooh sure
 
Hapo kwenye MI fit kuna app nimeona playstore inauzwa 7500 Ina features nyingi kuliko mi fit ni maalum Kwa mi band... Give me your opinion
 
Now I can't leave without my Mi band 2... Halafu kuna mtu ananiletea ile AMAZFIT BIP unaonaje? Ikifika nitakutumia whatsap....
Amazfit Bip ipo gud sana inadumu na charge ina features nyingi uki compare na Mi band 2, unaweza kuifananisha kwa mbaali na tracker za kimarekani kama Fit- Bit, Pebble etc.
 
Hapo kwenye MI fit kuna app nimeona playstore inauzwa 7500 Ina features nyingi kuliko mi fit ni maalum Kwa mi band... Give me your opinion
Mi Fit ndio official app ya smartband zote za Xiaomi, but kama ni nzuri inunue, mm natumia S Health ya Samsung.
 
Hii nmeikuta ebay na seller ana 100 % positive feedback...
 
Inaonekana ndio unaanza kufanya online purchase, hauna uzoefu kabisaa.
For sure sina mda mref..Ndomana nimeiweka hapa...nataka unambie shida ya hii order
 
Amazfit Bip ipo gud sana inadumu na charge ina features nyingi uki compare na Mi band 2, unaweza kuifananisha kwa mbaali na tracker za kimarekani kama Fit- Bit, Pebble etc.
Ooh kumbe...
 
Mi Fit ndio official app ya smartband zote za Xiaomi, but kama ni nzuri inunue, mm natumia S Health ya Samsung.
Yaap Kwa sasa natumia mi fit... Hiyo ya Samsung nzuri?

But mi fit naona hata kabla sijawa na hii ipo accurate Kwa asilimia kubwa kutrack distance....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…