๐—ซ๐—ถ๐—ฎ๐—ผ๐—บ๐—ถ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐˜„๐—ฎ๐—ฝ๐—ถ๐—ด๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—”๐—ฝ๐—ฝ๐—น๐—ฒ ๐—ป๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐˜€๐˜‚๐—ป๐—ด ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฑ๐˜‚๐—ฎ ๐—ฝ๐—ฟ๐—ผ๐—ฐ๐—ฒ๐˜€๐˜€๐—ผ๐—ฟ ๐—ฏ๐—ผ๐—ฟ๐—ฎ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
Xiaomi bingwa_20250526_212810_0000.png

Miaka 15 imefanya Kampuni ya Xiaomi kuwa Tishio dhido ya Kampuni kongwe ulimwenguni Apple kwenye matoleo mbalimbali ya vifaa vya kieletroniki ulimwenguni.

Katika uzinduzi wake wa miaka 15 toka kuanzishwa kwa kampuni ya Xiaomi, imefanikiwa kuunda Flagship Processor bora Sana aliyewapiga chini Apple na Samsung, inaitwa Xring 01 Processor inachukua jukumu kubwa kutokana na utendaji kazi wake wa SoC.

Imeundwa kupitia mchakato mkubwa maalum wa TSMC 33nm, chipu yake ina transistor bilioni 19 ikiwa na 10 core ambapo kinamshinda Apple kwenye Matumizi na uimara. Xiaomi anasema XRING 01 inatoa strong GPU Performance na ufanisi bora wa nishati.

Chip yake haijaundwa kwa ajili ya simu inatumika kwenye vifaa vinginezo kama vile Smart watch, smartphone, AR VR(Miwani) na vifaa vinavyoweza kuvaliwa. Uzinduzi huu unaonyesha muelekeo unakua wa makampuni ya Teknolojia kuunda chips zao wenyewe.

Kwa kufanya hivyo, Xiaomi inapunguza utegemezi wake kwa wasambazaji wa nje na kupata udhibiti zaidi wa jinsi vifaa vyake vinaundwa na kufanya kazi.
 
Back
Top Bottom