Xerox Printer and photocopy

BRAYNAJA

New Member
Joined
Feb 21, 2022
Posts
2
Reaction score
2
Wadau naomba kuuliza juu ya ubora wa mashine za xerox kwa kazi za stationary, au ni mashine gani nyingine Bora ambayo inaprint na kutoa copy kwa rangi?
 
Ni bora lakini very expensive kuihudumia...
 
Toner, Drum, fuser assembly, cartridge zake ni very expensive...

But ni printer nzuri sana....
Mkuu naona PM umeifunga. Nlikuwa naomba tujadili matatu kuhusu hii mashine sababu nafikriria kuinunua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…