Xclusive car wash with Talented workers

Hiyo ni mboga safi na hasa huwo mkia wake kwa mchuzi wa chuku chuku au wa rosti mzeto kidogo na usiwe na maji mengi
 
Hiyo ni mboga safi na hasa huwo mkia wake kwa mchuzi wa chuku chuku au wa rosti mzeto kidogo na usiwe na maji mengi

Mmh ulishawahi kuishi Afrika ya kati makubazi ? Manake kule hii kitu ni kama kitimoto huku
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana Ebola huko inasambaa kwa kasi. Bush meat oooh.
 
Kwenye brochure yao waliotoa wanasema gharama zao ni chee sana.Kila mmoja unampa ndizi moja mbivu basi mnaachana!

Hahahahaahaaa shida tu usiwe umeweka mkungu ndani ya gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…