Asante. Games gani ulizonazo na zipi zilizomo kwenye HD. Maana bei ya cd games hapa mjini ni kichefu chefu. Yaani hata zilizopitwa na wakati mfano fifa 2010 utaambiwa 150k.. hizi xbox na ps3/4 ni sheeda. Wakati huko nje zilizopitwa wakati unapata hadi £5 huku wanakuuzia ten times. Ps2 angalau kidogo