Hello,
Naombeni msaada wadau console yangu kuna mtu nilimuazima juzi kati anadai kipind anacheza ili zima na kuwaka hivi ghafla iko jitune kwenye resolution hiyo ya 480p toka hapo haijawahi kubadilika mm natumia 4k TV ila inashindwa kudetect imekomaa hapo hapo naomba msaada wakuu nimefanya setting zote imegoma