juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
nunua Xbox 360. sababu zangu ni kuwa, 1. ni rahisi kumodify ili upate games za bei chee. 2. nina mpango wa kuwashawishi akina NingaR, Young Master, CHIEF MKWAWA na C6 na wengine wengi wanunue pia Xbox, so support itakuwa kwa wingi. 3. nitakuwa na mtu wa kumuuzia games :heh: (buku kumi na tano tu kila game)
siku nikinunua game kutoka kwako nazimia kwanza kisha nikiamka nakufa, ntakuwa nakuja na dvd kuburn tu, undugu kufaana ndugu yangu leh
ivi bado kuna CHIEF MKWAWA na chief-mkwawa?

leh wewe si nilikuuliza siku ile ninunue ipi ukanipotezea?
samahani kaka, sikukupotezea. itakuwa tu kwa bahati mbaya sijajibu. si unajua haya makitu yananifanya kichaa. kaka tafuta slim ya 250GB. kuna slim za 4GB, kaa mbali nazo. tena ukiweza kununua ambayo tayari ipo JTAG'd, ndo bora zaidi.
mfano.. Xbox 360 RGH Limited Edition Gears of War 3 Console | eBay
inafaa, tena sana Young Master, ila hiyo hapo sio modded. yaani itacheza original games tu. kufanya icheze game za nyumbani inahitaji kufanyiwa kazi. kuna LT3 na JTAG. LT3 ni unachomoa disk drive yake na kuiflash kwa PC. baada ya hapo unaburn DVD DLs (za 8GB). JTAG ni unafunga chip ndani ya motherboard yake na baada ya hapo unaweka game kwa HDD yake. JTAG ndo bora zaidi ila ni ngumu sana. mi naweza kuflash ila JTAG sigusi. ndo maana nikakushauri utafute used JTAG'd maana sidhani kuna mtu bongo anaweza