XBOX 360 FOR SALE, Bei Maelewano

XBOX 360 FOR SALE, Bei Maelewano

LARRYBWAY

Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
82
Reaction score
5
habari wanajamvi.
.nauza XBOX 360 yangu kwa bei ya kirafiki kabisa pia nitakupatia cd moja bure ya mission ya blades of time... nitwangie kupitia namba yangu ya voda 0754909834
 
maelewano ndo pesa ya wapi we funguka hapahapa
 
Unatumia cartridge au cds?tutoe ushamba kwa kuweka picha mkuu!
 
Sio zote zina capacity sawa hard drive zinapishana pia kuna Zenye port za hdmi na nyingine hazina ni Kama kwenye simu uambiwe galaxy s3 sio zote unakuta ni sawa in storage etc
 
Hahahahahahahahha Majangaa Mbona Majangaaa...!
 
Back
Top Bottom