Bahati furaha
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 3,077
- 1,439
Habari mchana wajuvi?
Nimejaribu kuinstall Kodi kwenye laptop yangu lakini nikii-run inaonesha "ERROR: Unable to create GUI. Exiting."
File hilohilo nimeliweka kwenye desktop inapiga mzigo.
Msaada Chief Mkwawa, Mwl RCT, Njunwa na wengineo tafadhali.
Nimejaribu vyote, tatizo liko palepale Mkuu.jaribu ku google hiyo error unaweza kupata msaada kama mdau alivoshauri
Ila pia unaweza Uninstall hilo file la awali then ndo uinstall upya....
au pia kama bado Kodi inasumbua basi Install TVMC nayo hii ni Kodi ila wameiwekea repositories zote tayari
Habari mchana wajuvi?
Nimejaribu kuinstall Kodi kwenye laptop yangu lakini nikii-run inaonesha "ERROR: Unable to create GUI. Exiting."
File hilohilo nimeliweka kwenye desktop inapiga mzigo.
Msaada Chief Mkwawa, Mwl RCT, Njunwa na wengineo tafadhali.
Nilipata tatizo kama hilo juzi tu na ujumbe kama huo ulikiwa unatokea..nikaenda kwa jamaa mmoja akaniambia kuwa wakati ananipigia window kuna drivers hazikuingia...so alichonifanyia akashusha window na kuweka tena na kuhakikisha kila kitu kina-install inavyotakiwa (kuna vitu pale kwenye system properties vilikuwa haviko sawa sijui mambo ya bit cjui mi sio mtaalam xana)...basi baada ya kuinstall eindow tena nikaweka iyo KODI na ikaingia bila wasiwasi ivi asaivi nacheki channel ikowemo na STAR TV.....ila AZAM 2 ndo imenigomea cjui tatizo ni nini.
hii ndio solution na ukigoogle tu hio error unakuta solution kibao zinaelezea hili tatizo.
Mkuu Chief na Manjeta, I appreciate michango yenu. Tatizo langu halikuwa kwenye missing driver kama alivyoeleza kwa ufasaha Mandeta. Driver zilikuwapo zote ila nilipopata tatizo kdgo la printer niliamua kuapdate driver zote wakati huohuo nilikuwa nilishasahau hili la 'kodi'.hii ndio solution na ukigoogle tu hio error unakuta solution kibao zinaelezea hili tatizo.