Habari!
Wakuu naombeni msaada wenu.
Mimi natumia decoder ya x master q16.
Sasa kwa sasa software yake imekwisha muda wake...sasa je naweza elekezwa jinsi ya kuidownload update software na kisha kuinstall mwenyewe. .maana jamaa aliekua akinisaidia hakuwahi kunifundisha.
Asanteni