X-boss wa IMF afutiwa mashataka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

X-boss wa IMF afutiwa mashataka!

Discussion in 'International Forum' started by Jidu, Aug 24, 2011.

 1. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,167
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Aliyekuwa Mkuu wa IMF Dominique Strauss-kahn amefutiwa mashitaka yaliyomkabili kwa tendo la kubaka,waendesha mashataka wameshindwa kupata kithibitisho cha kumtia hatia!hata baada ya vielelezo vya DNA kuwakilishwa kutoka kwenye mbegu zake za kiume lakini imegonga mwamba.Mlalamikaji ameonekana alikuwa analeta usanii kwani kulikuwa hakuna kulazimishana ni mapatano yao!hivi inawezekanaje mtu akakulazimisha ufanye nae "oral sex" na kwanini usimng'ate wakati akikuletea mdomoni dhakari yake? hii nayo ndio imechangia kutupilia mbali kesi hiyo hata hivyo anaonekana si muanifu kwani huko kwao anasema kuwa ni muhanga wa kubakwa na watu wengi ndio akapewa makazi huko state.tukiacha hilo kilicho nishangaza ni kuwa mke wa kizito huyo anatoa support ya kutosha kwa Husband wake akijua kuwa jamaa ni dunga dunga kinoma sijui kama hata anachembe ya wivu huyu bibie.


  [​IMG]Strauss na mkewe
   
 2. h

  hoyce JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Urais kashaukosa. Siasa za majitaka
   
 3. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kama alifanya OS ... alikuwa willing ... na inatiashaka kuhusu kubakwa...!
  Mkuu kusu wife support ... haishangazi sana ... Hillary Clinton etc ..ni mifano kwa hilo!
   
Loading...