X ambayo zamani Ilijulikana kama Twitter

X ambayo zamani Ilijulikana kama Twitter

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,853
Reaction score
60,798
Hii kibiashara maana yake ni nini, kwanini kila habari lazima ikumbushwe kumbushwe kwani si dunia nzima tushajua Twitter ni X na X ni Twitter. Kwanini zitrend zote pamoja (Twitter) X?
 
Back
Top Bottom