Wydad Casablanca Fans Tukutane hapa

Waaaaaarabuuuuuuu
Wameingia cha kike

Tarehe 28/04/2023 saa 3:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki pale jijini Casablanca tunaenda kuwaangamiza hawa Mikia/Makolokolo/Mbumbumbu/Kinyumenyume bao za kutosha.

Nasemaje, wapigweee mpaka wachakae, maana hakuna namna.
Wydad tumekuja🚶🚶🚶🚶.Sema unachotuitia.
 
UJINGA NI KIPAJI.

WYDAD ITAKUSAIDIA NINI MAISHANI MWAKO.

FICHA UJINGA
ACHA USHAMBA.

Simba wanapeleka timu nne.
Simba wanatangaza utalii.
Wanaitangaza nchi kisoka.
Wanalipa Kodi, Taifa nk.

Hiyo timu YENU msemaji ALISEMA wenye akili ni wawili.

Na wewe simba inakusaidia nini mkuu? Hayo matangazo yanakusaidia nini wewe kama mshabiki!

Wydad 10-0FT
 
UJINGA NI KIPAJI.

WYDAD ITAKUSAIDIA NINI MAISHANI MWAKO.

FICHA UJINGA
ACHA USHAMBA.

Simba wanapeleka timu nne.
Simba wanatangaza utalii.
Wanaitangaza nchi kisoka.
Wanalipa Kodi, Taifa nk.

Hiyo timu YENU msemaji ALISEMA wenye akili ni wawili.
Mkuu wew ndo ufiche ujinga wako,
Watu wanashabikia timu Kwa ajili ya kupata furaha na Amani ya moyo na ndo maana timu wanazozishabikia zikifungwa wanaumia na kuna wengine Hadi maisha wAmepoteza.
Kuna maana gani yakushabikia timu za ulaya ukiwa unaona hoja yako ni sahihi.
Ficha ujinga wako mkuu
 
UJINGA NI KIPAJI.

WYDAD ITAKUSAIDIA NINI MAISHANI MWAKO.

FICHA UJINGA
ACHA USHAMBA.

Simba wanapeleka timu nne.
Simba wanatangaza utalii.
Wanaitangaza nchi kisoka.
Wanalipa Kodi, Taifa nk.

Hiyo timu YENU msemaji ALISEMA wenye akili ni wawili.

Huyo jamaa ni mjinga, ila naona na wewe pia ni mjinga mwenzake
 
Waaaaaarabuuuuuuu
Wameingia cha kike

Tarehe 28/04/2023 saa 3:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki pale jijini Casablanca tunaenda kuwaangamiza hawa Mikia/Makolokolo/Mbumbumbu/Kinyumenyume bao za kutosha.

Nasemaje, wapigweee mpaka wachakae, maana hakuna namna.

Shabiki wa Wydad tangu 1946 baada ya kuisha vita vya pili vya dunia
 
Back
Top Bottom