Na huyu Vladmir Putin akili zake ziko kama kashata, mbona Dunia hii sasa hakuna usalama kabisa.
Juzi tu hapa hawa watu walitungua ndege ya abiria wakasema bahati mbaya.
Mambo haya ya Makombora ndiyo yaliyomuuwa Rais wa Korea akamwachia Nchi mwanaye sasa.
alikuwa yupo radhi Wananchi wale nyasi ila awe na zana nzito kujilinda akasahau kuwa Mungu ni zaidi ya zana za Mwanadamu.

Hizo ni propaganda za nchi za magharibi amazo wanataka kumiliki mataifa yote. huko marekani pia kuna watu wanalala barabarani na hawana chakula - na nchi yao inajenga kila aina ya silaha na ina deni kubwa kuliko kiasi