Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,749
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]do hayo makombora ya china sio feki kweli
Kwani huyo korea kaskazini amesema ataishambulia china??
Duh hayo makombola siku yakiachiwa nazan hii dunia binadamu tutakufa wote aiseee duhKufuatia Vitisho Vya Nyuklia Vya Korea Kaskazini, China Imesogeza Majeshi Yake Kwa Wingi Kwenye Mpaka Wake Na Nchi Hiyo. Wakati Huo Huo, China Imesogeza Makombora Yake Matatu Aina Ya Dong Feng - 41. Kombora La DF-41 Lina Uzito Wa Tani 80 Na Urefu Wa Mita 21. Lina Uwezo Wa Kwenda Kilomita 8.5073 Kwa Sekunde Likifyatuliwa. Lina Uwezo Wa Kubeba Vichwa Vya Nyuklia. Kombora La DF-41 Pia Lina Uwezo Wa Kwenda Kilomita Za Jumla 15,000.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaah yaani nimecheka kwa nguvu afu usikudo hayo makombora ya china sio feki kweli
Chanzo cha habari ni ubunifu wa mleta madaChanzo habari?
Hahaaa Makombola ya Urusi hayo hadi nembo zao kabisa kama hayo yalioko Barabrani. mleta mada akasome upyaHayo makombora ni ya russia bhana
Korea hajawahi kutumia hayo makombora ya nyuklia kumshambulia yeyote yule nafkir hadi hapo chizi unamuelewa ni yupikwan chizi anachagua pa kupiga?
Duh!!ndo nini umeandika dogo???WWW111-what is this shit???China kumobilize majeshi yake mpakani na N. Korea ndio ishara ya WWW 111? Inabidi uufuatilie sana mgogoro wa N. Korea na S. Korea na uwepo wa Marekani kwenye ile Peninsula. Na msimamo wa China incase kama kutatokea kutoelewana na kulinzisha kati ya hao Wakorea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh!!ndo nini umeandika dogo???WWW111-what is this shit???