Brock lesner amempiga under taker...Daniel braya amempiga Trip H..ambapo kama ni mfuatiliaji mzuri utafaham kuwa kabla ya pambano la ubingwa wa WWE heavyweght champion ship..ilitakiwa.Daniel brayan apambane na Trip H then mshindi kati yao aingie kwenye kinyang'anyiro cha kuwania mikanda hoyo miwil..Hivyi basi Daniel brayan akawa ameshinda mechi hiyo dhid yaTrip H..kwa shida. So pambano la kuwana ubingwa ndio ikawa Daniel Brayan,Land orton.na The Animal batista..kiukweli pambano lilikuwa gumu sana.Trip H akaja kuingilia pambano hilo kwa kumvamia Daniel brayan..mara akaja na nyundo yaan ni balaa.lakin kwa umakin wa mr yes. Nyundo ilimgeukiwa Trip H mwenyewe.Wakati bambano limenoga sasa.Daniel bray akabamizwa na. Batista kwenye mameza yal ya watangazaji akakutana tena na Rko.. kiukweli huyu jamaa aliteseka sana.ikaonekana kuwa hatoweza kuendelea na mech madocta wakaja na kumweka kwe kitanda cha wagojnwa ambao hawawezi kutembea..akiwa kwenye kitanda.anarudishwa sasa ndani kwenda kutibiwa zaid..unajua nini kilitokea..akawashangaza madoctoka akainuka ghafla ukurud uwanjani..anakaribia uwanjan akanguka madocta wakaa tena wakamwambia bwana huwezi kuendelea na pambano..jamaa akawa mbishi akarudi uwanjano kama bahati tuu akawa amewaotea..kajamaa kakashinda..kwa kifupi ndio hivyo..So the new WWE Heavweight is Daniel brayan..thanks