Fede Masolwa
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 529
- 123
habari wakuu, wapenzi wote wa wwe hapa ndio kwetu tufundishane tucheke sote na kufurahi sote na husijaribu majumbani kwetu, leo kuna specials events kuanzia saa nane mpaka 11 ndani ya etv.
Jamani natumia king'amuzi cha Star times mbona kwangu ETV imekata?!
Mi nimenunua kifurushi kwa ajili ya wwe, naambiwa eti kipo bize.
WWE SUPER STARS
Doph Ziggler
Tripple H
Big Show
Daniel Bryan
Randy Orton
Shield n.k
Ngoja nami nichungulie EATV
WWE SUPER STARS
Doph Ziggler
Tripple H
Big Show
Daniel Bryan
Randy Orton
Shield n.k
Ngoja nami nichungulie EATV
Sio EATV ni ETV ila nao hapa kwangu naona wamekata matangazo.
Nimeamia zangu ITV kwenye mdahalo wa Tanzania Tunayoitaka
ata me nipo itv tu, nitaamia digitek... Startime wanazingua.
Hivi Digitek wana ETV kwenye package yao?Maana mi ugonjwa wangu mieleka!Na ni sh ngapi kwa mwezi?