Wsanii wameitikia wito wangu wameanza kubadilika sasa

God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,790
3,021
Ni majuzi tuu hapa nilitoa onyo Nkaasema sitaki mwanangu afanye sanaa yoyote ile iwe mziki, maigizo, umiss au chochote kila.
Sasa katika pita pita zangu yatika mitandao ya kijamii na hasa instgramu naona wanaposti picha nzuri zenye maadili .
Wanawake now wanavaa nguo ndefu na zinafunika maungo yao hata wale mliowazoea sasa wanavaa vizuri

Pia hawa masharobaro wanaopenda maisha ya raha na hawajui kutafuta pesa wametii amri na hawavai modo au hawavalii suruali chini ya matako tena.
 
Nshomile bwana, sawa basi msalimie Rugemalila, Rweyemamu na Tibaijuka
 
Watu mnapenda kujipa ujiko kama Le Mutuz, yaani wamebadilisha mavazi kwa ajili yako wewe? Mmh, sawa!
 
Ni majuzi tuu hapa nilitoa onyo Nkaasema sitaki mwanangu afanye sanaa yoyote ile iwe mziki, maigizo, umiss au chochote kila.
Sasa katika pita pita zangu yatika mitandao ya kijamii na hasa instgramu naona wanaposti picha nzuri zenye maadili .
Wanawake now wanavaa nguo ndefu na zinafunika maungo yao hata wale mliowazoea sasa wanavaa vizuri

Pia hawa masharobaro wanaopenda maisha ya raha na hawajui kutafuta pesa wametii amri na hawavai modo au hawavalii suruali chini ya matako tena.
Sifa nyengine ni za kipuuzi yakhee
 
Back
Top Bottom