Wrong pattern

Wrong pattern

wangewange

Senior Member
Joined
Oct 4, 2013
Posts
189
Reaction score
43
Hellow wana jf wadau wa hili jukwaa, nina simu hapa ilikua na pattern kuna mtu alichezea hakua anajua patterns so now imeji block n it need google acc iliokua inatumika na paswed na vyote vpo lakin smu imejiblock ikiwa off data connection ndo najiuliza km itafunguka tho data iz off na nmetry t fail kwahyo naombeni plan b wadau ni htc desire

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kama utakua unamanisha factory resert pia ntashindwa kwa sababu siwezi ingia katka setting cuz simu isha jiblock mkuu au kuna njia nyingine?

Inawezekana kabisa kama utaingia kwa boot model, fanya hivi, zima simu yako kwa kuitoa betri kisha weka, at the same time bonyeza button ya kuwashia na button ya volume down (-v) kwa mda mpaka itakapoingia kwenye boot model kisha chagua factory reset, lakini kumbuka kama simu yako ni tecno usishangae kuletewa menu ya kichina hapo itakuwa imekula kwako
 
Asante sana mkuu ngoja nitry nta kuinform

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Inawezekana kabisa kama utaingia kwa boot model, fanya hivi, zima simu yako kwa kuitoa betri kisha weka, at the same time bonyeza button ya kuwashia na button ya volume down (-v) kwa mda mpaka itakapoingia kwenye boot model kisha chagua factory reset, lakini kumbuka kama simu yako ni tecno usishangae kuletewa menu ya kichina hapo itakuwa imekula kwako
Nlivofanya hivo imenletea optipon ya shut down airplane mode n restArt mkuu haijaja factory resert

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nlivofanya hivo imenletea optipon ya shut down airplane mode n restArt mkuu haijaja factory resert

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Ulichokifanya wewe hapo ni soft reset, hakikisha unapoiwasha unaendelea kuhold hizo button bila kuziachia mpaka yenyewe itakapokupa boot model, ukiaachia njiani ndo inakupa soft reset, jaribu tena lete feedback
 
Asante sana mkuu nmefanikisha mara ya kwanza nilikosea niliwasha kwanza simu alafu ndo nikabinya power button n -v but ulipotuma dc txt nkajarbu kuwasha huku nmebnya vol deductn asante kwanza umeniongezea maujuz kiroho safi ni pm ur # tugawane ata za vocha mkuu iwe namb ya tgo kaka

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Asante sana mkuu nmefanikisha mara ya kwanza nilikosea niliwasha kwanza simu alafu ndo nikabinya power button n -v but ulipotuma dc txt nkajarbu kuwasha huku nmebnya vol deductn asante kwanza umeniongezea maujuz kiroho safi ni pm ur # tugawane ata za vocha mkuu iwe namb ya tgo kaka

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Usijali mkuu, sharing is caring
 
Back
Top Bottom