Wrong leaders at the wrong time

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,961
Reaction score
166,334
Katika nchi moja ya "kusadikika" watu wake kila siku ya Mungu hawaishi kulalama na hata kujutia aina ya watawala walionao ingawa wenyewe ndio waliwachagua japo inawezekana wanaowaponza ni wapiga kura wa vijijini.

Tatizo kubwa ni kuwa na viongozi wasio faa katika nyakati zisio faa!

Nyakati za sasa zina changamoto nyingi na zinahitaji viongozi "strong" ambao kwa bahati mbaya hawapo.Inawazekana wapo ila sio hao waliopo madarakani kwa sasa!

The president,vice president and the prime minister are not strong enough to face those challenges.
 
 
Bila hata kusoma details za thread hii kilichonivutia ni heading yenyewe tu. Cha muhimu hapa nitoe mchango kisha nirudi kwenye details zako nione zimefanana na zangu?
Ni kweli Tanzania by then ilikuwa nyuma sana kimaendeleo na kama kawaida rasilimali zake zilikuwepo tangu enzi na enzi. Kilichofanyika hapo ni kuzilinda. Wakati Tanzania inaendelea kulinda rasilimali zake huku katika jumuiya za kimataifa kulikuwa kunafanyika mabadiliko ya kisayansi na teknolojia. Wakati kwa kiasi Watanzania wameshasoma kuwa tayari kuendesha uchumi wao, waasisi waliokuwa wameona mbele wakawa hawako madarakani waliopo ndiyo hao ambao leo Tanzania imekumbwa na hali hii. Wakati Dunia inaingia katika Utandawazi tulipata Viongozi wasiojali uhifadhi wa rasilimali zake. Tanzania inachanwa chanwa kila kukicha inavuliwa nguo. Hatuna uwezo tu tungetamani viongozi waliopita wafufuke wautetee uchumi huu unaoibwa kila kukicha.
 

Viongozi waliopo madarakani leo hawana ubavu wa kukabiliana na changamato zilizopo labda wangefaa kuongoza enzi za ujima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…