Written

Written

moj6

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
3,354
Reaction score
5,006
Kuna mtu ana mashaka juu ya hili?
Screenshot_20190623-150734.jpeg
 
wapole tunapata tabu sana.............
 
Hatari Sana
Ingawa biblia siiamin ila kwa hili naunga mkono hoja!
 
Kumbe mimi ni mpole sana ndio mana anaongea sana mke wangu
 
kama tulivyokubaliana kwenye kikao cha wanaume kilichopita........ndugu wajumbe nakazia tu........
21.usinaswe na uzuri wa mwanamke,wala usimtamani mwanamke kwa mali yake,,,
22.ni ghadhabu aibu na fedheha mume kulishwa na mkewe...
 
Ungeiweka sura yote tu yaani jana niliipitia imejaa madini tupu.wanawake wajinga na wakorofi wamepigwa mawe ila mwanaume wazembe wazembe wapigwa risasi kabisa hebu cheki mistari ya juu na chini ya huo uloweka red. The best thread of this Sunday.
Ok
 
kama tulivyokubaliana kwenye kikao cha wanaume kilichopita........ndugu wajumbe nakazia tu........
21.usinaswe na uzuri wa mwanamke,wala usimtamani mwanamke kwa mali yake,,,
22.ni ghadhabu aibu na fedheha mume kulishwa na mkewe...
Na mlifanyie kazi.
 
Hiyo 22 utekelezaji uanze Mara Moja
 
Back
Top Bottom