Naomba kuuliza kama kuna mtu yeyote aliewahi kufanya written interview kwenye kada ya Afisa Usimamizi wa Fedha Daraja II, anaweza kunijuza aina ya maswali ambayo huulizwa, maandalizi ya utumishi majina yapo hewani.
Jamani wana jamii tusaidien kujua angalau maswali yanakuja vp! maana kuna watu waliitwa kazini mwezi wa tano mwaka huu Afisa Usimamizi Fedha daraja II kama upo kwe jamvi hili tusaidie tafadhali!