dullah_libra
Member
- Jan 19, 2018
- 9
- 0
Hivi kwenye written interview ili uchaguliwe kwenda next stage ni lazima umalize maswali yote?
Sifa siyo kumaliza maswali yote, ila ulichokijaza kinaendana na ulichoulizwa na je umefikisha zile Pass marks zao? Unaweza kumaliza maswali yote ila umejaza utumbo, na usimalize lkn uliyojibu umejibu vzr. So ni hivyoHivi kwenye written interview ili uchaguliwe kwenda next stage ni lazima umalize maswali yote?
Jibu zuri asanteSifa siyo kumaliza maswali yote, ila ulichokijaza kinaendana na ulichoulizwa na je umefikisha zile Pass marks zao? Unaweza kumaliza maswali yote ila umejaza utumbo, na usimalize lkn uliyojibu umejibu vzr. So ni hivyo
Halafu ukifikia marks zao kuna interview ya oral au ndo imetoka?Jitahid komaa upate 50 kwenda juu kama pepa itakuwa maji upige marks nzuri zaidi mkuu ila chini ya 50 hapa hakuna matumaini mkuu.
Hahahaa umenifurahisha kichz kuna interview nlienda tulipambana sanaFanya ufanyavyo, punda afe lkn mzigo ufike.
Kumbuka hiyo ni vita, shauri yako
Vipi pambano lilizaa matunda lkn!Hahahaa umenifurahisha kichz kuna interview nlienda tulipambana sana
Haha natumai ulitoboaHahahaa umenifurahisha kichz kuna interview nlienda tulipambana sana
Halafu ukifikia marks zao kuna interview ya oral au ndo imetoka?
Wewe jamaa kweli una experience unajibu vema sanaUkitoboa hapo unakuja Oral mkuu nayo utoboe ila unakuwa na hatua nzuri kwa kiasi fulani ukifika Oral
Ya kawaida tu mkuu maana katika utafutaji lazima mtu upitie haya mambo,Inshaallah MUNGU atafungua milango ya kheri mwaka huu.Wewe jamaa kweli una experience unajibu vema sana
Inshaallah broYa kawaida tu mkuu maana katika utafutaji lazima mtu upitie haya mambo,Inshaallah MUNGU atafungua milango ya kheri mwaka huu.

siyo kumaliza ni kuyafaulu haya maswaliHivi kwenye written interview ili uchaguliwe kwenda next stage ni lazima umalize maswali yote?