Hawa jamaa wameniita kwa nafasi ya road licensing and monitoring officer ii,hivi huwa wanauliza maswali gani hawa watu?
Wakuu,wameniita jana,interview ni tarehe 22 june,wamepiga cmu na kutuma email.hizi ni zile walitangaza mwaka jana mwishoni.
Big up bro, noted!Mkuu angalia job description inasemaje, jitahidi kuelewa kila kitu, kama kuna kitu unahisi kitakuzingua soma, documents kibao mtandaoni
Pili, maswali ya ufahamu, jua historia na trend ya sumatra, angalia ni kitu gani wamefanya katika hiyo kazi na ni nini wamepatia( hapo compliment) na walipokosea (toa short opinion on what you think)