Written interview ya Uhasibu TRA

Written interview ya Uhasibu TRA

Joined
Sep 9, 2013
Posts
52
Reaction score
28
Wadau...ndio nimetoka kwenye written interview ya TRA pale Duce. Aisee ilikua noumer tupu. Majibu kesho jion saa 10. Maswali magumu sana. Kweli kama ni kazi...sasa ivi tutakua tunazipata kwa neema ya Mungu au kwa vimemo tu. Kama hali yenyewe ndio hii.
 
lazima uone nyotanyota yale mijambo ya mke wako natumai ulifika pale na hangover ya mashuzi
 
acha uzushi,ilikuwa maswali 25 rahisi tu kwa dk 100,mshindwe nyie tu
 
pole mm naona ni lile gogoro la Comfy ulilolilalia, huko kuna jamaa yangu katokea Songea anadai paper ilikuwa safi sana ila ana wasiwasi na watoto wenye maGODFATHER, huenda neema ikawapitia maana miaka ya nyuma TRA iligubikwa na Ukabila
 
lazima uone nyotanyota yale mijambo ya mke wako natumai ulifika pale na hangover ya mashuzi

Huna nidhamu na hujiheshimu hata wewe mwenyewe. Matusi unayotoa yanaanzishwa nini? Unakula NDUMU au UNABWIA? Wavuta bangi na wabwia unga ndio huamua kutukana hata kama hakuna sababu ya kutukana. Wao matusi ni mkate wao wa kila siku. Jirekebishe maana unamlaani aliyekufundisha kuandika
 
natumai umeishajua kwanini niliandika vile sio unakurupuka huko unakuja kunidis hapa,muhusika ndo alitutangazia anajambiwa
 
Back
Top Bottom