mtamanyali
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,161
- 616
Poleni na majukumu ya kila siku nzima wadau. Naomba mwenye uzoefu juu wa written interviews kwa post ya Tutorial Assistant hasa aina ya maswali yanayoulizwa. Natanguliza shukrani za dhati.

Asante kwa mchango wako. Nimepata pakuanzia.Huwa wanaukiza maswali yanayohusiana na hilo somo. Kwa mfano umeomba post ya tutorial assistant in economics then utaukizwa maswali ya economics pure. Km umeitwa na sekretarieti usihofu coz jamaa huwa wanachukua mtu aliyefanya vizuri hata kama no body knows you.
Asante kwa mchango wako. Nimepata pakuanzia.