Written interview DIT

Written interview DIT

zainath

Member
Joined
Oct 30, 2013
Posts
16
Reaction score
5
Hivi kuna nafasi za kazi zilitangazwa na DIT nafikiri mwaka huu wameshaitwa kwenye interview ya kwanza ya written. Kwa mfano mimi nakumbuka niliomba kada ya Computer studies.
 
Ili ni swali,ushauri au taarifa? me cjakusoma
 
Ilishafanyika tarehe 8 may 2015 na oral ilikuwa tarehe 11-12 may 2015.
Pole sana inaelekea hukuona tangazo kwenye web yao.
 
Kaka nilifikiri unaulizia kuitwa kazini DIT kwani karibu mwezi tangu interview kufanyika
 
Mleta mada pole sana...hata mimi kidogo tangazo nisilione sema uzuri walinipigia simu kunikumbusha.
Tatizo nataka kujua kazini watu wanaitwa lini?
 
Back
Top Bottom