Writing test

cyruss

Senior Member
Jan 13, 2012
196
40
Wadau nimeitwa hivi karibu kwnye bank kufanya written test kwa ajili ya kazi, naombeni msaada juu ya kuibamiza iyo test yao mwongozo kidogo wadau nijiandaaje
 
Itaje hyo bank kwanza ndio tujue,ni accessbank au?
 
Kimsingi hizi test huwa zinatest general knowledge ya mhusika. Mara nyingi znakuwa katika sehem tatu; Communication skills, Maths&Proffessional questions(maswali haya yanahusu kile ambachounaenda kukifanyia kazi). Usijilimit uwezo wako wa kufkiri. Just think out of the box and im sure you will come out with flying colours. Goodluck!
 
Asante kak, nitazingatia hilo marumia
 
Wadau nimeitwa hivi karibu kwnye bank kufanya written test kwa ajili ya kazi, naombeni msaada juu ya kuibamiza iyo test yao mwongozo kidogo wadau nijiandaaje

Lazima kwanza uwe una uwezo wa kujieleza, you background, education & employement history
Pili lazima uifahamu vizuri IN and OUT hiyo Bank (be informed the Co your applying for)
Tatu uwe informed na kazi unayoiomba You will be asked proffession questions
Mwisho jiamnini na usionekana uko so desparate kuipata kazi hiyo. Vaa nadhifu pia nenda na original certificates zako
 
Poa bobuk, nashukuru kwa mawazo yako mazuri.
 
Part kubwa wamemaliza wachangiaji hapo juu. Usipoelewa kuwa free kuuliza na Usisahau kumuomba Mungu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom