Writing a winning CV

Writing a winning CV

Mbona nikiingia kwenye hiyo link inafunguka na kunitaka niweke email na password zake, nikiweka inaniambia password haziko sahihi....!?

Wakati ni password hzohzo na email n hyohyo!?
mbona sijaona ; hiyo kitu jaribu tena
 
mbona sijaona ; hiyo kitu jaribu tena
Mkuu, nimejaribu tena na tena na tena ila nimeshindwa, Msema kweli ni mpenzi wa mungu. Naomba kwa kunisaidia, kama ww umefanikiwa nitumie mfano huo wa CV kwa kufuata mtiririko ulioko katika maelezo hayo.....

Nitumie kwa WhatsApp namba 0757062351

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nimeifungua nikatumia fb, nimeenda mpak mwisho wanataka hela ,
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Back
Top Bottom