Nilichukua partenity leave aseeh [emoji1]Niko poa sana tu mkuu
Dah!!...kitambo sana sikuoni Daby
TehHapo sawa
Video amazing e?
Bhasi karibu sana mkuuNilichukua partenity leave aseeh [emoji1]
ashenale tupo pamojaBhasi karibu sana mkuu
Hahahh usinambie ni mbayaTeh
Kwa hiyo unanitega unipime sio?
Mke wangu ndio kabarikiwa.Bila shaka na wewe utakua umebarikiwa wo wo wo
Kwa yaliyomo mule nitatolea wapi nguvu za kusema ni mbaya.Hahahh usinambie ni mbaya
Na izi aibu naanzia wapi kuwa video queen baba naniliu?Kwa yaliyomo mule nitatolea wapi nguvu za kusema ni mbaya.
Teh ulikuwa video queen mmojawapo? Yule alisababisha mgonjwa akamtoroka nesi ama
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Na izi aibu naanzia wapi kuwa video queen baba naniliu?
Zipo nyingi tu...nyimbo mbaya zote hazimo katika PC/simu yanguMkuu joanah hivi kuna nyimbo bongo hii au dunia hii ambayo hauna kwenye PC au Simu yako....?