si wamekuwekea chura hapo katikati!Wewe jinga kweli kweli,nimekimbilia huku nikifikiri kuna chura!!
Hii track inchekesha SanaNi wimbo pia
Hahhahh ila nyimbo nzuri,kaimba kivyake vyakeHii track inchekesha Sana
Siku naiskia nilisubiria video kwa hamu. Ila unachimba duuuhHahhahh ila nyimbo nzuri,kaimba kivyake vyake
Hahahahh hii nyimbo niliona alivyoitambulisha sijui katika planet bongo sijui Friday night vile...nikaipenda pale paleSiku naiskia nilisubiria video kwa hamu. Ila unachimba duuuh
Daby mamboHii track inchekesha Sana
Daily ilikuwa lazima niingie youtube niitafute...nishaiona bwana.Hahahahh hii nyimbo niliona alivyoitambulisha sijui katika planet bongo sijui Friday night vile...nikaipenda pale pale
Kwani video hujaiona?
Ni poa comrade upo poa!Daby mambo
"Hata upendeze vipi sisi tunatazama wowowo.... sura hata mbuzi anayo dada si tunataka wowowo."
Lol.
Niko poa sana tu mkuuNi poa comrade upo poa!
Hapo sawaDaily ilikuwa lazima niingie youtube niitafute...nishaiona bwana.